Hivi mnajua au hamjui bado.

Hivi mnajua au hamjui bado.

na hv siku hz wanakula bange unampga sound mpk ikolee sharti umtizame uson kila ukimchek unakuta macho kakukazia sijua ujasir utautoa wap wa kuendeleza somo.
 
Wewe unaangalia nini Kisukari?
kwa upande wangu mimi sipendi check bob,majisifu kwa wingi sipendi.napenda mtu wa kawaida tu,na mwenye kunijali na mimi namjali.kuhongwa pia sipendi.napenda tupeane vijizawadi vidogo vidogo tu.na mwanamme mwenye muelekeo na muaminifu.ila sometimes,katika maisha,unayotaka yawe,huwa hayawi.na too much honey,sweetie huwa sipendi.mara moja moja sio mbaya
 
Aisay kweli lakini hawa wengi wanapenda kwa masikio yani 75% ukipiga lugha wanaregea unafunga bado kiulaini kabisa :biggrin:

Hii statement yako Fazaa, si kweli. Mwanaume too much sweet talker for me ni laghai au tapeli wamapenzi na huwa nawapiga chini.
Umeona kama wanawake si wote kama unavyofikiri. Endelea na utafiti wako tena.
 
Uliona wapi mwanamke akawa hapendi maneno wewe, wengine msipo pewa maneno mazuri manchanganyikiwa mnakimbilia kunua kanga za mafumbo, sijui mnafikiria barua ya mapenzi.
 
Maneno matamu muhimu ati.. Romantic words.. Ofcourse uongo unakuwepo but who knows? Its sweet to listen to anyway!
 
Hiyo research yako uliifanyiaga wapi mkuu!!maana kwangu imegoma hata kwenye kufikirika.Yani unidanganye2 hata kama hauna mvuto nikukubali eti kisa una maneno matamu!!Ivi mmemuona uyu mwanamke ni mpumbavu kiasi gani mpaka yy asijue kupenda aishiage kupendwa2 na kudanganywa kwa maneno?
 
Sijasema 100% nimesema 85%...yani kama vile wewe ulivyo ingizwa gear na yule mme wa watu, sio wanawake wote wanakubali hivyo.
 
Uliona wapi mwanamke akawa hapendi maneno wewe, wengine msipo pewa maneno mazuri manchanganyikiwa mnakimbilia kunua kanga za mafumbo, sijui mnafikiria barua ya mapenzi.
Fazaa unaumwa wewe! sijui maneno yako unayatoa wapi!
 
hii kwangu mimi ina-work 100%
maneno yana power kubwa sana kuliko kitu chochote.
 
Uko sawa mtoa maada japo wabishi wanajadili matokeo"kupenda" wewe unawapa sababu"why unapenda".uko poa sana uzi wako.
 
2012 dunia yako! Chagua kushusha mistari yenye vina, chagua kupiga sound za maana!
 
Hiyo research yako uliifanyiaga wapi mkuu!!maana kwangu imegoma hata kwenye kufikirika.Yani unidanganye2 hata kama hauna mvuto nikukubali eti kisa una maneno matamu!!Ivi mmemuona uyu mwanamke ni mpumbavu kiasi gani mpaka yy asijue kupenda aishiage kupendwa2 na kudanganywa kwa maneno?

Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !
 
Umekosea, tunapenda kwa mioyo yetu. Hatupendi kwasababu nyie ni mahandsome, mnavaa vizuri, mnanukia... Lah!
Tunawapenda wanaojua thamani ya upendo na wanaojua nini mwanamke anastahili.

Hivyo ndivyo mnavyosema, lkn nani anajua nini mwanamke anataka?
 
kwa upande wangu mimi sipendi check bob,majisifu kwa wingi sipendi.napenda mtu wa kawaida tu,na mwenye kunijali na mimi namjali.kuhongwa pia sipendi.napenda tupeane vijizawadi vidogo vidogo tu.na mwanamme mwenye muelekeo na muaminifu.ila sometimes,katika maisha,unayotaka yawe,huwa hayawi.na too much honey,sweetie huwa sipendi.mara moja moja sio mbaya

Well said! Sijui kuna ukweli kiasi gani katika nadharia au imani hii ya "mwanamke na sikio, mwanamume na jicho", lakini unapofika wakati wa ukweli unaweza kukuta wote wameenda mchomo - aliyebembelezeka kwa maneno matamu anagundua kuwa zote zile zilikuwa "nyimbo tu", na aliyevutiwa na sura anaambulia "uzuri wa mkakasi...ndani kipande cha mti".

Ubora wa mtu hautegemei maneno wala sura yake; kwenye mahusiano vitendo ndio vinachukua nafasi ya mwanzo.
 
Mwanaume anapenda through his eyes na mwanamke through her ears...Yani bandugu mkijua kumpiga lugha mwanamke basi atakupenda tu mana wao masikio ndo yanapenda, sisi mpaa macho yapende ndo tunapenda.
in other words kwa mwanaume uongo muhimu na kwa mwanamke kujiremba ni priority hata kama kichwani hana kitu,au sio?
 
Back
Top Bottom