Hivi mnajua kuna wanaume wa 30+ na hawana experience ya mahusiano? (Hata kuhandle familia hawawezi)

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Hii inaletlelezwa na kukosa confidence na effect ya social anxiety.

Kuna jamaa mpaka wa leo nadhani haja wahi kufanya mapenzi, maana last time alibwagwa na demu baada ya demu kuona jamaa hana maamuzi ya kiuanaume.

Ilikuwa jamaa kila muda anamuuliza demu maswali ya kijinga na hana stori za maana kabisa! Alaf akitoswa au kuto kujibiwa meseji anakosa amani! Hiyo insecurity ya rejection ndo iliyo mfanya kukosa mademu mpka umri huo, he was such a jerk.

Sasa unakaa kujiuliza ataendelea kupiga puli mpaka lini? Hawa ndo baadae wanakuja kugeuzwa maana hawana stamina ya kuwa wanaume kabisa.

Vijana, wekeni simu zenu pembeni. Anzeni ku approach mademu, elezeni hisia zenu bila kutetemeka. Mtaishia kula kwa macho tu. Alafu hata mashoga nao huanzaga hivi hivi, kukaa unakuwa friend zoned na mademu mwishowe na wewe unakuwa demu tu.

Kama mwanaume, jenga identity nzuri.
Achana na validation, weka mipaka yako wazi, achana na mitandao na fake life, usiendekeze hisia. Na ishi ndani ya purpose yako.

Haya maneno sio ya uongo aisee mtaani kumeharibika sana.
 
Utajuaje kama unajua ku handle familia!!?
Anaekupa validation ya kuwa unajua ku handle familia ni nani!!?
Kila kiumbe hai ana confidence ya vitu vya aina yake na kukosa confidence ya vitu vingine hiyo ni nature na Ina select hali yake!!!

Kwakua umepata jukwaa la kuonyesha hisia zako Haina maana uelewa na hisia ulizonazo zinafanana!!
Halafu mawazi hayafanani,

Neno "kufanya mapenzi"uanlielewaje!!?Kuna chuo kinatoa cheti cha validity ya tendo lenyewe

Kuna wengine wengi wanna maana tofauti tofauti ya tendo lenyewe!

1.wengine wanadhani ni kulamba lambana sehem za Siri!

2.kufanya muda mreefu bila kupumzika

3.wengine kimoja Chali nayo Ina maana
4.wengine kuzalisha watoto wengiii na kulima mashamba na kuyavuna

5.wengine kubembeleza bembeleza mademu na kupigwa mizinga!!

Sasa wewe unataka kuwaambia wanajukwaa jambo gani!!?;
 
We live in a world where the poor travel millions of miles to find money while the rich travel millions of miles to use money.
Credit:SI
That's plain facts mkuu. People think money is to be chased, but money is to be attracted
 
Ningependa kubaki na maana mama ya uzi huu. Mambo ya mitazamo tuiweke pembeni mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…