Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Ndugu zangu Habari !!
Bado tunaendelea na Mapambano ya kuhakikisha Hawa Wauaji walotuua hawatutawali.
Hatupo kimya, Ni Mbinu tu tumebadilisha
Je Mnajua kwann Chawa wa CCM wanajifanya suala hili liloamuriwa na Mahakama ni kama hawalioni?? Hawalipi Uzito?.
Miaka yote , CCM na magengen Yao ya Ugaidi na uuaji wamekua wakitumia BAKWATA Kwa manufaa yao, kujaribu kuwachanganya Waislam .
Yaan ilikua BAKWATA wakiongea , vyombo vya habari vyote vinawarusha, BAKWATA ikawa inamamlaka juu ya Waislam wa Tanzania.
Mahakama hiii japo Kwa Asilimia 99 imejaa Uhuni , Hukumu juu ya BAKWATA imetendea haki Waislam.
KWA SASA BAKWATA HATA IKISEMA MWEZI UMEANDAMA, SIJUI SIKUKUU VILE , SIJUI TAREHE FULAN WAISLAM TIFANYE HIVI..
Waislam wote Kwa Sasa PUUZIENI maelekezo yoyote kutoka Kwa BAKWATA
BAKWATA ni kikundi Cha Wahuni wa CCM, Wala hawana usemi wowote wa Kiroho ,Kiimani Wala kijamii .
Wapuuzieni BAKWATA ,ni genge la Wahuni tu lilikua limebebwa na Serikali DHALIMU ya CCM .