Angalia hapa utajua.
Mtu Kwa siku anapiga lakha tano na bado ana mwezi wa toba lakini kila leo anaenda kutubu, ina maana huyu mtu ni mtenda dhambi, na anafanya dhambi makusudi ili aende kutubu kila wakati, Kwa nini asifanye dhambi na atubu mara moja sio kila siku.
Haya mtu kila leo kanisani hoja kuu kunakipengele cha kuungama dhambi na ukumbuke hiyo ni kila siku, lakini huyo ndio anazini na wanakwaya, waumini, anasengenya kila leo yaani kila siku yeye ni mdhambi na kila siku anatubu tu si anajua nafasi anayo.
Wale sasa anayejua yeye ni jambazi hana dhambi nyingi yeye anakua nayo moja tu, mla rushwa pia dhambi yake ni moja tu anajua yeye anakula rusha imeisha hiyo, mzinzi anajijua kabisa yeye ni uzinzi tu yaani hili kundi wao wanaspecialize milele , lakini wenzangu na mimi ni kuvuruga tu mara hili mara vile.
Hasa ikitokea akatubu ile moja ni moja Kwa moja paradiso.
Tujitahidi kuchagua dhambi moja uifanye Kwa ustaadi ili usimchanganye huyo ndugu Mungu kama yupo,