Hivi mnajua wanaoswali na kusali ndio watenda dhambi wakubwa, wale wasiosali wala kuswali hawafanyi dhambi nyingi kivile, ona mifano

Hivi mnajua wanaoswali na kusali ndio watenda dhambi wakubwa, wale wasiosali wala kuswali hawafanyi dhambi nyingi kivile, ona mifano

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Angalia hapa utajua.

Mtu Kwa siku anapiga lakha tano na bado ana mwezi wa toba lakini kila leo anaenda kutubu, ina maana huyu mtu ni mtenda dhambi, na anafanya dhambi makusudi ili aende kutubu kila wakati, Kwa nini asifanye dhambi na atubu mara moja sio kila siku.

Haya mtu kila leo kanisani hoja kuu kunakipengele cha kuungama dhambi na ukumbuke hiyo ni kila siku, lakini huyo ndio anazini na wanakwaya, waumini, anasengenya kila leo yaani kila siku yeye ni mdhambi na kila siku anatubu tu si anajua nafasi anayo.

Wale sasa anayejua yeye ni jambazi hana dhambi nyingi yeye anakua nayo moja tu, mla rushwa pia dhambi yake ni moja tu anajua yeye anakula rusha imeisha hiyo, mzinzi anajijua kabisa yeye ni uzinzi tu yaani hili kundi wao wanaspecialize milele , lakini wenzangu na mimi ni kuvuruga tu mara hili mara vile.

Hasa ikitokea akatubu ile moja ni moja Kwa moja paradiso.

Tujitahidi kuchagua dhambi moja uifanye Kwa ustaadi ili usimchanganye huyo ndugu Mungu kama yupo,
 
Huwa namuogopa sana mtu anayejifanya anamjuwa sana mungu kusali sali sana
Wengi nliyokutana nao ni wazushi tu wanafki wakubwa

Ova
Yaani watu wanaojifanya kumjua mungu sana hua hawafai nyuma ya pazia ndio watenda maovu wakubwa
 
Angalia hapa utajua,
Mtu Kwa siku anapiga lakha tano na bado ana mwezi wa toba lakini kila leo anaenda kutubu, ina maana huyu mtu ni mtenda dhambi, na anafanya dhambi makusudi ili aende kutubu kila wakati, Kwa nini asifanye dhambi na atubu mara moja sio kila siku,
Haya mtu kila leo kanisani hoja kuu kunakipengele cha kuungama dhambi na ukumbuke hiyo ni kila siku, lakini huyo ndio anazini na wanakwaya, waumini, anasengenya kila leo yaani kila siku yeye ni mdhambi na kila siku anatubu tu si anajua nafasi anayo,
Wale sasa anayejua yeye ni jambazi hana dhambi nyingi yeye anakua nayo moja tu, mla rushwa pia dhambi yake ni moja tu anajua yeye anakula rusha imeisha hiyo, mzinzi anajijua kabisa yeye ni uzinzi tu yaani hili kundi wao wanaspecialize milele , lakini wenzangu na mimi ni kuvuruga tu mara hili mara vile,
Hasa ikitokea akatubu ile moja ni moja Kwa moja paradiso,
Tujitahidi kuchagua dhambi moja uifanye Kwa ustaadi ili usimchanganye huyo ndugu Mungu kama yupo,
Hakuna asiyetenda dhambi duniani ukiwemo wewe.

Rum 3:23
kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu;
 
Kuna mjinga alikuja kunililia gari yake ina matatizo nimkope kiasi flani akatengeneze nikampa nusu ya alichotaka, baada ya hapo jamaa akaanza kunipiga sound za kitoto sana nikaona isiwe tabu sihangaiki ila ndo tusijuane tena, ajabu nae kwa kumkumbuka Mungu tu hajambo...
 
Hamna logic ulichoandika , ibada ni maisha kwa hyo kweny maisha kuna mengi ...Katika uislamu ili sala zako zikubaliwe lazima iwe ni chanzo cha kuacha maovu .

Kama unasali ila bado una maovu , unajidanganya mwenyewe.
 
Ni kweli kabisa watu hao ni hatari sana.

Tupo wengi kwenye jamii ukiishi nasisi kwa karibu ndio utafahamu wengi ni wanafiki na ndio tuna roho mbaya.
 
Huwa namuogopa sana mtu anayejifanya anamjuwa sana mungu kusali sali sana
Wengi nliyokutana nao ni wazushi tu wanafki wakubwa

Ova
Kuna rafiki angu mmoja enzi tupo shule alikuwa anapenda sana kutuambiaaaa wakati wa kipindi cha dini eti jamani tuache dhambi tumrudiee mungu kwani yeye hachoki amesema samehe saba mara sabini achaneni na mademu.......

Aisee sasa siku ya 🔥 chair akapigwa swali hivi wewe una demu kweli wewe akasema hana ila akiwa na mm ananiambiaaa kaka huu mwaka hauwezi kuisha bila kuvunja amri ya sita haiwezekani mm mpaka leo sijawahii!!!!! 😂😂😂😂😂

NILIPATA MSHTUKO KUDADADEKI nkamwambia oyaa hivi shetani kakuingia nn akasema hapana kaka me lazima nijaribu 😂😂😂😂

Ilibidi nicheke tu 🏃 🏃 🏃
 
Je kusali ni kutubu.. Ibada ya sala ndio toba?

Mada ndefu kidogo hii,na ina tofautina kwa mafundisho ya dini kwa dini.
 
Angalia hapa utajua,
Mtu Kwa siku anapiga lakha tano na bado ana mwezi wa toba lakini kila leo anaenda kutubu, ina maana huyu mtu ni mtenda dhambi, na anafanya dhambi makusudi ili aende kutubu kila wakati, Kwa nini asifanye dhambi na atubu mara moja sio kila siku,
Haya mtu kila leo kanisani hoja kuu kunakipengele cha kuungama dhambi na ukumbuke hiyo ni kila siku, lakini huyo ndio anazini na wanakwaya, waumini, anasengenya kila leo yaani kila siku yeye ni mdhambi na kila siku anatubu tu si anajua nafasi anayo,
Wale sasa anayejua yeye ni jambazi hana dhambi nyingi yeye anakua nayo moja tu, mla rushwa pia dhambi yake ni moja tu anajua yeye anakula rusha imeisha hiyo, mzinzi anajijua kabisa yeye ni uzinzi tu yaani hili kundi wao wanaspecialize milele , lakini wenzangu na mimi ni kuvuruga tu mara hili mara vile,
Hasa ikitokea akatubu ile moja ni moja Kwa moja paradiso,
Tujitahidi kuchagua dhambi moja uifanye Kwa ustaadi ili usimchanganye huyo ndugu Mungu kama yupo,
Tumefika huku tayari? kuona rushwa na ujambazi ni bora kuliko kusali!
 
Uhakika💯💯

Ingawa sio wote.
Oyaa hawa walokole wengi ni wa mchongo ijapokuwa sio wote si kuna mchungaji mmoja alikuwa anapita na wanakwaya kisiri siri si kamoja kakapata mimba oyaa jamaa akahama kanisa na akaenda kuanzisha kanisa lake
 
Angalia hapa utajua,
Mtu Kwa siku anapiga lakha tano na bado ana mwezi wa toba lakini kila leo anaenda kutubu, ina maana huyu mtu ni mtenda dhambi, na anafanya dhambi makusudi ili aende kutubu kila wakati, Kwa nini asifanye dhambi na atubu mara moja sio kila siku,
Haya mtu kila leo kanisani hoja kuu kunakipengele cha kuungama dhambi na ukumbuke hiyo ni kila siku, lakini huyo ndio anazini na wanakwaya, waumini, anasengenya kila leo yaani kila siku yeye ni mdhambi na kila siku anatubu tu si anajua nafasi anayo,
Uko sahihi kabisa
  1. Ukifuatilia mienendo yao utachoka, kuna mmooja ni Pastor nilimkuta Lodge mitaa ya Mawasiliano akiwa na mke wa muumini wake lodge
  2. Sikiliza mahubiri yao kwa makini, utabaini wanasimulia uzoefu wa mambo wanayofanya huko gizani ila wanasingizia watu wengine
  3. Wizi wa sadaka na zaka za waumini, kugombea vyeo, kupigana vipapai, kutengeneza makundi miongoni mwa waumini, chuki nk yote hayo wanayaasisi wao
 
Kuna kwa ukweli ila tusiache kusali....
 
Kwa kifupi umeandika pumba na huna ulijualo. Mf ili ibaada yako ikubaliwe lazma uwe ulitubu sku 1 tu kuwa hutorudia dhambi ileile. Binadamu dhambi tunatenda sana iwe kwa makusudi au bahati mbaya, sometimes unatembea then unamkanyaga mdudu asie na hatia hadi anakufa. Huyo mdudu atakulaumu that's why unatakiwa uombe msamaha kwa mungu kila muda. Finally, Mungu katuleta duniani tuje kumuabudu na si vinginevyo. Nashangaa 90% ya comments wamekuunga mkono.
 
Back
Top Bottom