The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
😂😂😂Wanawake wote hawa Duniani nijichue? Malaya siku hizi ni kila kona na tena wa bure kabisa.Punguza kujichua mkuu,hio ni moja ya madhara yake.
Hahah kwa hiyo mitandao uliyoitaja nimeshaelewa kwanini sasa unaona movie ni utoto mzee baba.😂😂😂Wanawake wote hawa Duniani nijichue? Malaya siku hizi ni kila kona na tena wa bure kabisa.
Leo hii una- order nyapu online kama vile unaita uber. Nyapu zilizojaa eskimi, tagged, hitwe, tinder, badoo, lovoo, meet me, tantan, sijui mtandao ganj mtu upike punyeto? Labda kama unataka mwenyewe.
Sinywi na sijawahi kunywa pombe wala kuvuta sigara wala bangiKwa hiyo ww unapendelea nini?
Unaweza kuta ww ni mlevi uliyekubuhu.
Your in line2![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kwa hiyo ww unapendelea nini?
Unaweza kuta ww ni mlevi uliyekubuhu.
Lugha ghani? Kimombo? Sio tatizo kabisa.Lugha mkuu itakua tatzo.
Nyingi tu mkuu. Sio moja. Seosons, series, dramas nk.Hebu taja mfano wa movie moja uliyowahi kuiangalia ukaiona ya kitoto.
Maana huwenda unaangalia movie za kitoto halafu anataka ziwe za maana.
Hakika. Sio kila kitu ni cha kila mtu.Wewe kama mimi tu nikianza angalia naanza kusinzia .. Not everything is for anybody
Kwa hiyo ww kwenye sekta ya burudani unapendelea nini?Hakika. Sio kila kitu ni cha kila mtu.
Nawe ndio walewaleinategemea na aina za movie ulizoangalia
huwezi kuangalia anaconda ukaniambia umeangalia movie hapo utakuwa umepoteza muda wako
FYI usiangalie bongo movie