Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,537
- 13,004
😂 😂 😂Kama movie za kawaida zimekushinda unaona ni za kitoto mkuu jaribu na zile za kikubwa mkuu [emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂 😂Kama movie za kawaida zimekushinda unaona ni za kitoto mkuu jaribu na zile za kikubwa mkuu [emoji1787]
JiweWewe kama mimi tu nikianza angalia naanza kusinzia .. Not everything is for anybody
We jamaa mkali, hajawai angalia movie akiwa amekaa halafu inamvutia mpk anasimama Kama vile Messi Yuko kwenye 18,sijui Kama ameshaangalia Fugitive ya Harrison Ford, au The Good The bad and Ugly ya Bingwa Clint Eastwood, ukiwa unangalia hizo umeshika glass omba umeme usikatike, unaweza piga glas kwenye TVAsee movies Ni hobby yangu tokea zamani sana.
Nachopendelea movies za majuu
1.idea ya filamu na wazo kuu mfano angalia movie ya saw kuanzia sehemu ya kwanza
2.wahusika wanavaa uhusika kisawasawa mfano refer Matt Damon wa movies sequel za Jason Bourne , Pamoja na John crammer wa the saw
3.wapiga pichà (cinematographers) wanajua kucheza na angle za kupiga picha,na hisia za mtazamaji yaani wanapiga picha kumshirikisha mtazamaji nawe awe sehemu ya tukio
4.mandhari ya movie na YENYEWE ni kigezo kwanini napenda movie za majuu .ma producer wako tayari kutumia kiasi chochote kile cha pesa katika kutafuta mandhari .
Mfano madmax fury ya 2015 yale mandhari ya jangwani ilikuwa ni jangwa la Kalahari namibia na Australia.unaweza kuvuta picha ni kiasi gani walitumia kutengeneza mandhari.
5.movie za majuu kwanza zipo dynamic Sana kwenye swala la dhamira katika maisha yetu.mfano vita,utumwa ,usaliti, mauaji, madawa ya kulevya na magonjwa
Kwa mfano filamu ya CONTAGION ya 2013 Kama sikosei inazungumzia world pandemic ya Corona virus
6.sound effect na sound track zimekaa poa sana tofauti na za kwetu ,kama ni sehemu ya huzuni lazima sound track itaendana ,kama Ni battle lazima ziendane...
Na mengine kibao.tu
Sasa mtu mwingine anakuja humu ana dis kuhusu kuangalia filamu binafsi ninamuona kama punguani tu .
Kila mmoja hupenda kufanya kile anachotaka as long as havunji kanuni na taratibu za kisheria za kijamii.
Saw,Wrong turn, Silver Bullet(hii hakuna alishaiona humu)[emoji23],final destination,kitu Jeepers creepers,najua Kuna atakaekuwa you tube kuzicheki Ni balaaWe bwege SAW sio poa kumbe tuko wengi wazee wa horror movies SAW NA WRONG TURN sio vitu vya mchezo ukiangalia unaisi na wewe umo ktk show BOEING 757 nakukubali kwa kunikumbusha ila SAW sehemu ya 3 yule dada aliteseka pale mwanzoni kwa kukatwa utumbo
Saw,Wrong turn, Silver Bullet(hii hakuna alishaiona humu)[emoji23],final destination,kitu Jeepers creepers,najua Kuna atakaekuwa you tube kuzicheki Ni balaa
Wapenda Pornography wameamua kujionesha live bila chengaSijui kama ni mimi au kuna wengine tunaoona movies ni kama michezo ya kitoto au watoto wadogo.
Mimi akili yangu imegoma kabisa kuzielewa movies. Hata nikiangalia baadae sikumbuki nilikua naangalia kitu gani. Naona kama ni childish sana.
Nimejitahidi kuangalia movies lakini wapi akili yangu imegoma kuzielewa au kuelewa kama movies ni kitu chenye maana yoyote.
Yaani nikianza kuangalia tu nadharau pale pale naona kama ni mambo ya kijinga na ya kitoto naangalia.
Mnaoangalia nyie mnapata raha gani? Na mnaelewa nini kwenye movies?
Kila mtu Kuna kitu anapenda so pengine hujaumbwa kupenda movieSijui kama ni mimi au kuna wengine tunaoona movies ni kama michezo ya kitoto au watoto wadogo.
Mimi akili yangu imegoma kabisa kuzielewa movies. Hata nikiangalia baadae sikumbuki nilikua naangalia kitu gani. Naona kama ni childish sana.
Nimejitahidi kuangalia movies lakini wapi akili yangu imegoma kuzielewa au kuelewa kama movies ni kitu chenye maana yoyote.
Yaani nikianza kuangalia tu nadharau pale pale naona kama ni mambo ya kijinga na ya kitoto naangalia.
Mnaoangalia nyie mnapata raha gani? Na mnaelewa nini kwenye movies?
Movie, animation,michezo yote ya ngumi and documetary ni vitu navyopenda kabisa movie inaraha yake mkuu soundtrack imetulia video bombaSijui kama ni mimi au kuna wengine tunaoona movies ni kama michezo ya kitoto au watoto wadogo.
Mimi akili yangu imegoma kabisa kuzielewa movies. Hata nikiangalia baadae sikumbuki nilikua naangalia kitu gani. Naona kama ni childish sana.
Nimejitahidi kuangalia movies lakini wapi akili yangu imegoma kuzielewa au kuelewa kama movies ni kitu chenye maana yoyote.
Yaani nikianza kuangalia tu nadharau pale pale naona kama ni mambo ya kijinga na ya kitoto naangalia.
Mnaoangalia nyie mnapata raha gani? Na mnaelewa nini kwenye movies?
😂😂😂😂 pornstaWapenda Pornography wameamua kujionesha live bila chenga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pornsta