Hivi mnaoangalia au kupenda movies mnapata raha gani?

Kuna swala la hobby, ukiona kila ukiangalia movie hufurahii basi jua kuwa siyo hobby yako maana ungekuwa na hiyo hobby ungetafuta kitu moja nzuri uangalie na kufurahia. Binafsi movie ni moja ya hobby yangu na nafurahia mnoo hasa kama ni genre ninayoikubali.
 
We bwege SAW sio poa kumbe tuko wengi wazee wa horror movies SAW NA WRONG TURN sio vitu vya mchezo ukiangalia unaisi na wewe umo ktk show BOEING 757 nakukubali kwa kunikumbusha ila SAW sehemu ya 3 yule dada aliteseka pale mwanzoni kwa kukatwa utumbo
 
Kuna movies nyingine hazina mvuto.

Usijilazimishe kuangalia.

Lakini pia, ni vigumu mtu kujosa movie yoyote itakayomvutia.

Kuna watu wengine wana matatizo ya kisaikolojia kama Attention Deficit Disorder (ADD). Ambapo mtu hawezi kufuatikia kitu kwa muda wa zaidi ya dakika chache.

Kama huwezi kufuatikia movie yoyote, pengine inawezekana uka wa na matatizo hayo pia.

Tafuta ushauri wa wataalamu.
 
Ila usimlamu jamaa labda aliangalia jini kabula or nsuka ila kqki
 
Wewe uko kama mimi, sijui kwanini sina interest kabisa na siyo movie tu hata mpira sipendi kabisa.
 
Mkuu nitafte wataalamu wanisaidie ili tu niweze kuangalia movie? Ama sijakuelewa kiongozi.
 
Huyu bwana yani haina yoyote ile ya movie, season, yeye hangalii una matatizo
 
Bongo muvi zimeharibu ubongo wako wa kuenjoy sanaa ya filamu, pole .
 
Unajuaje kama huna? Umeshapata kufanya mitihani ya kisaikolojia ya kupima akili yako?
Mkuu kwani kujua kama sina interest na kitu flani au vitu flani lazima nifanye mtihani wa saikolojia?
 
Mkuu kwani kujua kama sina interest na kitu flani au vitu flani lazima nifanye mtihani wa saikolojia?
Naona unashindwa hata kufuatilia na kujua ninajadili matatizo ya akili na si interest ya movie.

Una uwezo wa kufuatilia majadiliano kimantiki?

Au matatizo yaleyale yanayokufanya usiwe na interest na movie yanakufanya ushindwe kufuatilia majadiliano kimantiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…