Hivi mnaoangalia au kupenda movies mnapata raha gani?

Unakosa mengi sana mkuu.
Katika vitu vinavyofanya vizuri kwenye entertainment industry ni movie.

Hebu angalia box office alafu uone movie zinavyoingiza faida hadi 7 trillion za kitanzania yaani USD 2.7 billion kwa movie moja ambapo ni utajiri wa MO ambaye ni tajiri namba moja Tanzania lakini fanya mara mbili.

Nenda kacheck hii kitu inaitwa "inception" ambayo bila shaka siyo ya kitoto, kama ukiona ya kitoto basi utakuwa na definition yako ya neno "utoto".
 
We jamaa mkali, hajawai angalia movie akiwa amekaa halafu inamvutia mpk anasimama Kama vile Messi Yuko kwenye 18,sijui Kama ameshaangalia Fugitive ya Harrison Ford, au The Good The bad and Ugly ya Bingwa Clint Eastwood, ukiwa unangalia hizo umeshika glass omba umeme usikatike, unaweza piga glas kwenye TV
 
We bwege SAW sio poa kumbe tuko wengi wazee wa horror movies SAW NA WRONG TURN sio vitu vya mchezo ukiangalia unaisi na wewe umo ktk show BOEING 757 nakukubali kwa kunikumbusha ila SAW sehemu ya 3 yule dada aliteseka pale mwanzoni kwa kukatwa utumbo
Saw,Wrong turn, Silver Bullet(hii hakuna alishaiona humu)[emoji23],final destination,kitu Jeepers creepers,najua Kuna atakaekuwa you tube kuzicheki Ni balaa
 
Saw,Wrong turn, Silver Bullet(hii hakuna alishaiona humu)[emoji23],final destination,kitu Jeepers creepers,najua Kuna atakaekuwa you tube kuzicheki Ni balaa

Jeepers creepers ni balaa ile soundtrack yake ni crazy aisee
 
Wapenda Pornography wameamua kujionesha live bila chenga
 
Kila mtu Kuna kitu anapenda so pengine hujaumbwa kupenda movie

Fanya unachopenda ufurahie Dunia[emoji3590]
 
Movie, animation,michezo yote ya ngumi and documetary ni vitu navyopenda kabisa movie inaraha yake mkuu soundtrack imetulia video bomba
Story yenye kueleweka matukio yalivyo kwa mpangalio hadi uelewi next nini kitafuata

Kuna aina za movie

Scifi : hizi zimejaa science fiction nyingi yaan vitu vya kufirika unakuta kuna time travel kama ile tenet na the avengers hizi unaweza elewa tecknojia kwa kias flan

Action: hizi zimejaa ngumi sana hujatulia huyu kala mtama sometimes sisi mamovier tunatamani tuwe kama akina donn yen,jai white

By the way movie make us feel good wikiend namalizana na akina liam nelson
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…