Naweza kula mkate usiku endapo utakuwa na vipako vyake kama siagi au n.k. pia usindikizwe na yai au soseji, tunda kama ndizi mbivu na chai nzito.Wakuu habari za usiku?
Aisee jana hali yangu kiuchumi haikua nzuri,nikaona ngoja ninunue mkate nile nilale,mkate nimeula saa 3 usiku,ila hivi sasa ni saa 9 usiku usingizi umekata kabisa nimeamka kukoroga hata uji ninywe maana sio kwa njaa hii ninayoisikia aisee.
Hivi nyie wenzetu hasa wa hapo dar mnaokula mikate na kisha kulala usingizi mnono mpaka asubuhi mnaweza vipi hili jambo?