hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Sisi ni walinzi,hivyo tunakuwa tupo lindoni🏋🏋🏋Yaani kila nikiingia jf nakuta no updates, au update chache,
Lakini cha kushangaza kuna watu sio mods ila mda wowote ukiwatag tu wanakuja.
Wakuu labda sijajua jinsi ya kuitumia jf, maana taarifa au post mpya ni chache mno na wanaopost ni walewale.
Nikikaa masaa mawaili tu nimeshamaliza kupitia karibia threads zote mpya.
Sasa nyie mnaoshinda humu jf huwa kuna kipi kingine mnachofanya?
Pole sana sisi wengine ni walinda maudhui ya mtandaoni 24/7 hautukosi humu ukiyakanyaga tuu tunakufata hadi hapo ulipo...(joking) usichukulie serious hii comment yangu.Yaani kila nikiingia jf nakuta no updates, au update chache,
Lakini cha kushangaza kuna watu sio mods ila mda wowote ukiwatag tu wanakuja.
Wakuu labda sijajua jinsi ya kuitumia jf, maana taarifa au post mpya ni chache mno na wanaopost ni walewale.
Nikikaa masaa mawaili tu nimeshamaliza kupitia karibia threads zote mpya.
Sasa nyie mnaoshinda humu jf huwa kuna kipi kingine mnachofanya?
Ila we umezidi itakuwa we ni ka mke ka moderator so you moderate us!..😅Hata sisi tunakushangaa, itakuwa muda unaoingia na sisi tunaingia muda huo huo
Kushinda kwao kuna kuathiri chochote?Sasa nyie mnaoshinda humu jf huwa kuna kipi kingine mnachofanya
na tukijachanganya tunaweza tukanana na wazee wetu bila kujuaWengi huku ni watu wazima yaan wastaasfu,u know what? Am out
Kabsa mzee kinana yupo huku pia😕na tukijachanganya tunaweza tukanana na wazee wetu bila kujua