Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Wengine tunalelewa. Hivyo muda wote tupo jikoni tunapika huku simu zetu zikiwa beneti[emoji23][emoji23]
(Jokes)
(Jokes)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujamuambia kuna watu wa usalama pia wanafuatilia nyuzi kila wakatiKuna watu wanafanya kazi aidha madukani hawa muda wanao wakutosha,Kuna night shifts mara nyingi hawa pia hupata muda wakuchati... Wengine kazi zao mitandao so Kila muda data zipo on ni rahisi kuwa active jf.. mkuu na hili tukufundishe...?
Poor Brain Aki kupa Kibarua, mi naji nyonga😂😂😂.nipe kibarua nitulie
@mulwanaka kumbeUjamuambia kuna watu wa usalama pia wanafuatilia nyuzi kila wakati