Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Demi unatakiwa upewe uwasisi au ununue share jf atalest upate gawioHapana bana sipo hivyo.
Mkongwe mie staki ID mpya. Halafu ntanigundua tu maana siwezi kufake..
Nilishawahi kuachana na ID yangu ya 2013 najuta hadi leo . So nikipotea ujue nimepotea kikwelikweli.