Hivi mnaoshinda JF huwa mnakuwa mnafanya nini?

Yaani kila nikiingia jf nakuta no updates, au update chache,
Lakini cha kushangaza kuna watu sio mods ila mda wowote ukiwatag tu wanakuja.

Wakuu labda sijajua jinsi ya kuitumia jf, maana taarifa au post mpya ni chache mno na wanaopost ni walewale.

Nikikaa masaa mawaili tu nimeshamaliza kupitia karibia threads zote mpya.

Sasa nyie mnaoshinda humu jf huwa kuna kipi kingine mnachofanya?
Hebu tuanze na wewe unayewajua wanaoshinda humu JF huwa hauna kazi ya kufanya?
 
Hapo ni kufuatilia maisha ya mtu sasa, tukikuambia tunafanya nini utachukua hatuna gani?.
Yaani kila nikiingia jf nakuta no updates, au update chache,
Lakini cha kushangaza kuna watu sio mods ila mda wowote ukiwatag tu wanakuja.

Wakuu labda sijajua jinsi ya kuitumia jf, maana taarifa au post mpya ni chache mno na wanaopost ni walewale.

Nikikaa masaa mawaili tu nimeshamaliza kupitia karibia threads zote mpya.

Sasa nyie mnaoshinda humu jf huwa kuna kipi kingine mnachofanya?
 
Yaani kila nikiingia jf nakuta no updates, au update chache,
Lakini cha kushangaza kuna watu sio mods ila mda wowote ukiwatag tu wanakuja.

Wakuu labda sijajua jinsi ya kuitumia jf, maana taarifa au post mpya ni chache mno na wanaopost ni walewale.

Nikikaa masaa mawaili tu nimeshamaliza kupitia karibia threads zote mpya.

Sasa nyie mnaoshinda humu jf huwa kuna kipi kingine mnachofanya?
Na sisi tunakushangaa wewe
 
Very good observation

Lakini usijudge wote negative. Nitatolea mfano wa mdada huku nayemfahamu ratiba zake

Ni mfanyabiashara, katika biashara ana vijana wa kufanya kazi yeye huwa pembeni tu kucheck hivyo asubuhi mchana au jioni sio ajabu kuwa active jf
Akirudi home ana mdada wa kazi, sasa hapo utasema hana cha kufanya? Watu tumetofautina kulingana na shughuli au kazi zetu

Men ndio tuna ratiba kidogo complicated hata kama uwe na watu wa kukufanyia kazi zako, hivyo kwa men ukikuta wapo active muda wote hilo ni tatizo kubwa na ni kiashiria cha upweke wa hali ya juu
Almanusura niseme Lamomy
 
Back
Top Bottom