Hivi mnaoshinda JF huwa mnakuwa mnafanya nini?

Hivi mnaoshinda JF huwa mnakuwa mnafanya nini?

Yaani kila nikiingia jf nakuta no updates, au update chache,
Lakini cha kushangaza kuna watu sio mods ila mda wowote ukiwatag tu wanakuja.

Wakuu labda sijajua jinsi ya kuitumia jf, maana taarifa au post mpya ni chache mno na wanaopost ni walewale.

Nikikaa masaa mawaili tu nimeshamaliza kupitia karibia threads zote mpya.

Sasa nyie mnaoshinda humu jf huwa kuna kipi kingine mnachofanya?
Kwani wewe ulivyoandika hapa huoni kuwa na sisi uketuongezea update? Haya na wewe unafanya nini?
 
Matumizi mabaya sana ya ruzuku,kutwa kulalamika na kutukana ccm ila sijawahi ona hata dawati Moja kusaidia jamii.

Chadema ni chama Cha hovyo sana.
b5e4983e1120b0ec8310af281fd86231.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana sisi wengine ni walinda maudhui ya mtandaoni 24/7 hautukosi humu ukiyakanyaga tuu tunakufata hadi hapo ulipo...(joking) usichukulie serious hii comment yangu.
Mi naichukulia serious mkuu, maana kuna watu kazi yao ni kushinda mitandaoni kuset trends na wanalipwa kwa ajili ya hilo. { wazua taharuki , wabadili upepo etc. }
 
Back
Top Bottom