Hivi mnaoshinda JF huwa mnakuwa mnafanya nini?

Wengine tunalelewa. Hivyo muda wote tupo jikoni tunapika huku simu zetu zikiwa beneti[emoji23][emoji23]
(Jokes)
 
Kuna watu wanafanya kazi aidha madukani hawa muda wanao wakutosha,Kuna night shifts mara nyingi hawa pia hupata muda wakuchati... Wengine kazi zao mitandao so Kila muda data zipo on ni rahisi kuwa active jf.. mkuu na hili tukufundishe...?
Ujamuambia kuna watu wa usalama pia wanafuatilia nyuzi kila wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…