Samahani una miaka mingap?Hawa wasomi wanashangaza.
Hivi ninyi ni walimu?🤣
Hivi taaluma yenu mnaijua kweli.
Hivi inakuwaje mtu anaenda kusoma kozi chuoni ambayo hajui mwisho wa siku hajui atakuwa nani ?
Au ni ilimradi tu "boom" lipo na kitaa wanakujua uko chuo🤣
Anyway, mimi sijui.
Kuwa na taaluma inayoeleweka at least inapunguza stress. Kuliko kusoma taaluma isioleweka.Tuliokuwa tunajua tunasoma ili baadae tuwe tufanye nini, tuko taabani. Sembuse hao...
Hiyo simu unayotumia unajua katengeneza nani na nani mwenye elimu gani?
Mie niliambiwa nipige PGM nitakuja kuwa rubani Cha ajabu leo hii nasubiri mhindi amalize kula nikatoe vyombo daah inauma sanaTuliokuwa tunajua tunasoma ili baadae tuje tufanye nini, tuko taabani. Sembuse hao...
Huu uzi wangu hawa vijana wataniponda ila utasaidia wengi ambao hawajiunga vyuo.Ila kwenda kusoma BSc. in Mathematics kwa ridhaa yako mwenyewe kwa context ya Tanzania ni kukosa maarifa. Bora ukasomee ualimu tu au labda ukasomee Statistics
Kwa kifupi Sana:Hawa wasomi wanashangaza.
Hivi ninyi ni walimu?🤣
Hivi taaluma yenu mnaijua kweli.
Hivi inakuwaje mtu anaenda kusoma kozi chuoni ambayo hajui mwisho wa siku hajui atakuwa nani ?
Au ni ilimradi tu "boom" lipo na kitaa wanakujua uko chuo🤣
Anyway, mimi sijui.