Hivi mnaosoma kozi kama Bsc in Physics, Bsc in Chemistry, Bsc in Mathematics huwa mnapanga kuja kuwa kina nani hasa?🤣

Yes, hizo kozi ni nzuri huko majuu. Ila kwa hapa kwetu ni huzuni kwa kweli
 
Yes, hizo kozi ni nzuri huko majuu. Ila kwa hapa kwetu ni huzuni kwa kweli

Hapo ni kweli kabisa taaluma za nje na nyumbani ni tofauti kwa kujituma kutokana na taaluma zao au hakuna ajira nyingi za wataalamu hao

Ila majuu ni tofauti sana kwani alichosomea anajitahidi kufika mbali kwa alichosomea
Wapo wengi sana wameamua kutengeneza bidhaa kutokana na taaluma zao wakiwa hata nyumbani tu

Mfano mdogo tu juzi juzi walileta habari inayowahusu wahitimu wawili walioanzisha kutengeneza bia wakiwa nyumbani miaka miwili iliyopita na leo bia zao zipo supermarkets zote baada ya kuchukua mkopo na kupata wafadhili

Leo account zao zimetapika
Wapo waliojiendeleza kwa kutengeneza Apps na zikawaingizia hela sana nao ni wasomi pia

Elimu inasaidia sana kwa walioelewa wamesoma nini ila sio kukariri
 
D Duuh.. mkuu hii ya kusomea Degree ya physics kuwa
programmer na degree ya maths kuwa software developer una uhakika nayo???
 
Mkuu unajua tofauti kati ya Computer programming na Software development? Sasa B. Sc in Mathematics na Software development wapi na wapi?
 
Mkuu unajua tofauti kati ya Computer programming na Software development? Sasa B. Sc in Mathematics na Software development wapi na wapi?
Hawa ni baadhi tu ya computer Scientists wenye degrees za mathematics na physics.Wewe kazi kubisha hata facts huna.Computer bila mathematics sio computer

Charles babbage
Von Neumann
Alan turing
Ada lovelace
Alonzo Church
 
Wapo Tanzania au huko nje ya Nchi alfu mbona hata mimi Bachelor of Archaelogy naweza kuwa Computer progammer

Suala sio zinawasaidiaje Suala wanaajiriwa wapi kama nani TANZANIA
 
Hawa ni baadhi tu ya computer Scientists wenye degrees za mathematics na physics.Wewe kazi kubisha hata facts huna.Computer bila mathematics sio computer

Charles babbage
Von Neumann
Alan turing
Ada lovelace
Alonzo Church
Mkuu usichange files?

Nchi zilizoendelea coding ni somo la lazima kama ilivyo Civics/DS/GS huku kwetu.

Kwahiyo mtu kujua coding siyo lazima awe amesoma Programming
 
Hivi kwanini serikali zote Duniani zina MKEMIA MKUU wa serikali (CHIEF GOVERNMENT CHEMIST)? Kwanini kada zingine hazina machief, mimi nadhani BSc Chemistry watoe hapo ni watu wakubwa sana hapa Tanzania. Hawa BSc Chemistry hata serikali inawatambua mkuu na ndio maana unamwona Chief Chemist hapo. WAKEMIA wamo ndani ya katiba mkuu.
 
"Elimu inasaidia sana kwa walioelewa wamesoma nini ila sio kukariri." Mkuu ebu agiza kwanza maji hapo na wakikudai pesa waambie PROFESA anakuja kulipa.
 
Kuna watu wengi sana maofisini wanafanya kazi ambazo hawakuaomea darasani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…