Hivi mnapata wapi ujasiri wa kuoa mke mwenye mshahara?

Hivi mnapata wapi ujasiri wa kuoa mke mwenye mshahara?

Maisha Ya Ndoa Ni Kama Team Ya Mpira, Kila Mmoja Anatumia Mfumo Wake. Vijana Wenzangu Msiogope Kuoa Wanawake Wenye Mishahara, Nyote Wawili Kaeni Chini Mjue Mfumo Gani Muutumie Kwenye Ndoa Yenu.
 
Hapa ndio masela zangu wa KATAA NDOA wanapochukulia point 3
 
Kuoa aliyekuzidi kipato au mshahara sio inshu, inshu ni je mnaendana? Na je anakuheshimu kama mme wake? Nje ya hapo ndoa haitakua na amani.
 
Mwanaume anayejiamini hawezi mkataza mwanamke kuwa na ajira, mwanamme asiyetaka kuoa mwanamke mwenye ajira ni woga ulojengeka kwenye akili yake tu

Kama amesoma Kwa Nini asiajiriwe Kwa Nini asipate mshahara ? Alosoma ili iweje?

Kama ni kuchapiwa mwanamke hata umfungie akiamua kichepuka tena unamsindikiza anadinywa ukiwa unamsubiria akimaliza unambeba mnaenda pamoja

Kila mtu awe na uhuru wa fikra ila Sasa mwanaume uwe na akili ya kummanipulate mpaka vuuuu

Wanaume Kila mtu na chaguo lake
 
Tafuta wa saizi yako. Na watoto wako wote wa kike wapige marufuku kuajiriwa ili wawe wake bora. Kwa karne hii bado watu wana fikra duni namna hii?
 
Mkuu wewe tafuta hela yako tu! Jukumu la kutunza familia yako ni la mwanamme siyo la mwanamke!
 
Nawauliza kwa wema tu nyie wanaume wenzangu. Huo ujassiri wa kuoa mke mwenye mshahara mnautoa wapi?
Sababu zenu ni dhaifu eti maisha kusaidiana, au ukifa watoto wasiyumbe. Ahahahah

Nyie si ndio mnasogezewa maji ya kunawa kwa mguu🤣🤣🤣
Kama kusaididiana mbona kasi ya maendeleo kati ya familia zenu na zetu ziko sawa?

Are you serious kwamba unataka kusaidiwa maisha na mshahara wa mke wako? Kama kipato chako kidogo fungua mradi wa familia (usithubutu kumwambia hili duka lako, hii como yako umekwisha), mke wako asimamie, kwakuwa wana asili ya ubahili hiyo biashara itakuwa sana.

Wengi wanaharibu wanawaambia hili duka lako, mke atasimamia kwa makini kipato cha dukani kikianza kuwa kikubwa kuliko mshahara wako umekwisha.

Mifano ni mingi katika jamii. Fanya upumbavu wote usioe mke mwenye kipato cha uhakika. Iwe kipato kidogo au kikubwa. Don't try it.

Hapa sijazungumzia mapenzi anayofanya na bosi wake, work mate wake na client wake.
Ni inshu yako binafsi ya kisaikolojia, usitake kila mtu awe kama wewe.
 
Inapaswa iwe automatically usilazmshe
 
Back
Top Bottom