Nawauliza kwa wema tu nyie wanaume wenzangu. Huo ujassiri wa kuoa mke mwenye mshahara mnautoa wapi?
Sababu zenu ni dhaifu eti maisha kusaidiana, au ukifa watoto wasiyumbe. Ahahahah
Nyie si ndio mnasogezewa maji ya kunawa kwa mguu🤣🤣🤣
Kama kusaididiana mbona kasi ya maendeleo kati ya familia zenu na zetu ziko sawa?
Are you serious kwamba unataka kusaidiwa maisha na mshahara wa mke wako? Kama kipato chako kidogo fungua mradi wa familia (usithubutu kumwambia hili duka lako, hii como yako umekwisha), mke wako asimamie, kwakuwa wana asili ya ubahili hiyo biashara itakuwa sana.
Wengi wanaharibu wanawaambia hili duka lako, mke atasimamia kwa makini kipato cha dukani kikianza kuwa kikubwa kuliko mshahara wako umekwisha.
Mifano ni mingi katika jamii. Fanya upumbavu wote usioe mke mwenye kipato cha uhakika. Iwe kipato kidogo au kikubwa. Don't try it.
Hapa sijazungumzia mapenzi anayofanya na bosi wake, work mate wake na client wake.