Hivi mnaposema Simba inajiendesha kwa hasara mnafikiria nini?

Nadhani hapa ishu sio nani mwenye hisa anayepata hasara, point ya msingi ni kuangalia ni je kweli kuna hasara?

Kwasababu hili sio swala geni na halijaanza kuongelewa leo, hata 2013 wakati yuko manji malalamiko kama haya yalikuwepo
 
Kwani kabla ya Mo hiyo Simba ilikuwa inajiendeshaje kwanza tuanzie hapo
 
Ulishawahi kusikia kikao cha mwisho wa Mwaka cha Azam?!!.. Unadhani 45 billions ni Elfu 45?!!...Hebu tupe Thamani ya matangazo yote kwenye Jezi na udhamini wote alafu utoe gharama za kwendesha team na ujue hii sio Yanga!!...
 
Mimi nimeshuhudia watu wakinunua jezi za yanga kwa sh elfu 80 tena watu wa mikoani huku,wewe unasema nini?

Mimi binafsi nahitaji jezi ya kiwangi hata kwa elfu 50 ila ndio hivyo sizioni.
Acheni kuwaza kama vile mna vichwa vya kuku
Ni ngumu mashabiki kunua jezi original na kulipia kadi sh elfu 20..
Nirahisi kuongea kuliko kutenda..
 
Mimi nimeshuhudia watu wakinunua jezi za yanga kwa sh elfu 80 tena watu wa mikoani huku,wewe unasema nini?

Mimi binafsi nahitaji jezi ya kiwangi hata kwa elfu 50 ila ndio hivyo sizioni.
Acheni kuwaza kama vile mna vichwa vya kuku
Umeshuhudia watu wangapi?.Maana usikute ni watu wawili watatu ndo unakuja kuzungumzia hapa.haya mambo sio rahisi kama unavyofikiria.Ushabiki wetu bongo niwakupiga makelele ila mambo mengine ysnayohusu timu wengi wetu hatutaki kujua.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Siyo Simba tu hata Yanga inaendeshwa kwa hasara. Bila ufadhili wa GSM na METL hakuna Simba wala Yanga yenye sura tunazoziona hivi sasa. Hela inayotumika kuendesha vilabu hivi viwili ni kubwa sana kulingana na mapato yao,hiyo ndiyo hasara. Tusiwadharau hao matajiri wanaowekeza huko kwani vilabu vyewnyewe kwa miaka lukuki vimeshindwa kutumia mtaji wa wanachama na washabiki waoambao ni mamilioni kuwahamadisha wachangie kujenga na kuendesha vilabu vyao. Wacheni noma mpira ni pesa.
 
Mimi nimeshuhudia watu wakinunua jezi za yanga kwa sh elfu 80 tena watu wa mikoani huku,wewe unasema nini?

Mimi binafsi nahitaji jezi ya kiwangi hata kwa elfu 50 ila ndio hivyo sizioni.
Acheni kuwaza kama vile mna vichwa vya kuku
Sasa mkuu ata kama umeshuhudia watu wananunua jezi elf 80 si maamuzi Yao tu tena waga wachache walioamua kutoa sadaka ili waende sawa na Tamasha la siku ya wanachi na hizo hela haziendi Kwa yanga bali kwa huyo muuzaji mliponunua

GSM ye anauza jezi ya Yanga kwa jumla elf 28 na mkauze Kwa bei elekezi ya elf 35, kwahiyo kama zimeadimika ndio watu wanapigia hela hapo na mnafaika sio Yanga wala GSM, unakuta The Sunderland kachukua mzigo mkubwa na GSM wameishiwa kwahiyo yeye ndio anapandisha bei ya jumla na utajua wewe unaeenda kuuza utauzaje

Jezi ya Yanga ata iuzwe 25000/35000/50000/80000/100000 hapo mgao wa Yanga ni 1300 Kwa kila jezi, Sasa piga hesabu mwenyewe ili angalau Yanga waweze kunufaika na hayo mauzo ya jezi angalau mashabiki wanunue jezi ngapi Kwa msimu kabla ya kuingia next season, na hapo bado Kila msimu zinatoka jezi Feki kibao tu na club hainufaiki na chochote

Na mwisho wa msimu Yanga waga wanauza jezi zao kwa promotion elf 20 either ukienda makao makuu ya club jangwani au ukienda kwenye maduka ya GSM pamoja na gari inayotembea ikiwa na viongozi kama Bumbuli/Nugaz na sasa Manara, kwahiyo kununua jezi elf 80 sio issue maana hainufaiki Yanga hapo ananufaika aliekuuzia

Labda zitengenezwe jezi Kwa ubora tofaut tofaut ili kuondoa dhana ya uwepo wa jezi Feki, maana washabiki walio wengi kununua jezi Kwa bei elekezi ya elf 35 bado wanashindwa kununua, wanakimbilia za elf 15-20 ilimradi nayeye avae jezi ya club yake, kwahiyo wao wenyewe watengeneze jezi za bei tofaut na nyie mnaoweza kununua za elf 80 basi muwe mmeinufaisha Club yenu

ili kuongea Kwa data fatilia mapato na matumizi ya club Yako msimu uliopita ulipata gawio la 45M kutoka GSM kwa mauzo ya jezi, kwahiyo ukipiga hesabu hapo ni kwamba jezi za GSM zilizouzwa ni 35000 tu, kama ulikuwa unadhania eti mnavaa sana jezi basi ndo hizo jezi Feki tunazoongelea, Sasa Kwa club kubwa kama inapata mauzo ya jezi 45M kwanini isijiendeshe kwa Hasara
 
Ila kwenye kadi ya uanachama mkuu umenena... yaani unaweza kufuatilia hata miaka mitatu na usiipate.. sijui urasimu huu wa mtu kujiunga uanachama simba unafanywa kwa minajili gani.
Hawataki mamluki
 
Maswali mazuri ila tambua sio wote wananunua jezi OG,

Ukichukua operation cost (mishahara ya wachezaji, watendaji, benchi la ufundi, gharama za vibali vya kazi kwa foreigners, n.k) uka minus kinachoingizwa basi jawabu ni HASARA ....ni Wazi ni HASARA
 
Mimi nimeshuhudia watu wakinunua jezi za yanga kwa sh elfu 80 tena watu wa mikoani huku,wewe unasema nini?

Mimi binafsi nahitaji jezi ya kiwangi hata kwa elfu 50 ila ndio hivyo sizioni.
Acheni kuwaza kama vile mna vichwa vya kuku
Una uhakika nyie mnaotaka jezi za sh elfu 50 mpo wengi kiasi kwamba mkiuziwa jezi itapikana bilioni 6 ya kuendesha club kubwa Kama Simba na yanga..?
 
Shida kubwa ni kunakosekana uwazi juu ya club inaingiza nini na inatumia shi ngapi.

Hizi data zingrkuwa wazi tusingekua tunabishana hapa
 
Umeeleza vizuri Tena kwa data..waTanzania wengi wanavaa majezi feki Kama Yale ya arsenal na man u ya sh elfu 7..
waTanzania wa kununua jezi ya elfu 50 Ni wachache Sana
Akitaka kuamini kesho aende kwenye mechi ya Simba..aone nusu ya mashabiki wamevaa majezi ya miaka ya nyuma..robo jezi feki na robo ndio wamevaa jezi mpya OG
Ukweli Ni kwamba Ni hasara tupu..
 
Mashabiki wengi kipato chao ni cha chini wenge weza kuzipata pesa nyingi kwa kutengeneza bidhaa nafuu mfano jezi sio wote waneweza ku afford elf 35 kungekua na jezi hadi ya elfu 15 huko vijinini wana vaa sana jezi feki kwa bei rahisi hio pesa ingeweza kuingia kwenye vilabu tatizo lao wamelenga mijini
 
Umeandika utumbo haueleweki unachokiongelea has ni nini? Unazunguka zunguka tu ili mradi umtetee Mo
 
Tanzania hapa huwezi endesha timu kwafaida nakubaliana na modewj ,ihefu na mbeya city hua wanakunywa chai mikumi pale
 
Kuna watu wanasema et hizi team hazina mashabiki wakununua Jersey lwa 35k!! Yeyote anayesema hivi si mtu wa mpira mimi nimeshuhudia hapa DsM watu wakinunua Jersey ya yanga 50k sio mmoja ni watu wengi tena wengine walizikosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…