- Thread starter
- #61
Mimi ndugu nina kipato cha kawaida sana nikinunua T-shirt angalau zenye ubora kidogo ni kati ya sh elfu 40-60.Na tunazimudu.Itashindikanaje kwa jezi yenye ubora kununua kwa elfu 50?
Kwa taarifa yako watu wabanunua mashati tu kwa laki na 20 huku Kahama.Watu wanapenda vitu vizuri sio bora kitu.Feki uzeni lakini quality t-shirts zina wanunuzi wengi sana
Kwa taarifa yako watu wabanunua mashati tu kwa laki na 20 huku Kahama.Watu wanapenda vitu vizuri sio bora kitu.Feki uzeni lakini quality t-shirts zina wanunuzi wengi sana
Una uhakika nyie mnaotaka jezi za sh elfu 50 mpo wengi kiasi kwamba mkiuziwa jezi itapikana bilioni 6 ya kuendesha club kubwa Kama Simba na yanga..?