Una uhakika nyie mnaotaka jezi za sh elfu 50 mpo wengi kiasi kwamba mkiuziwa jezi itapikana bilioni 6 ya kuendesha club kubwa Kama Simba na yanga..?
Mashabiki wengi kipato chao ni cha chini wenge weza kuzipata pesa nyingi kwa kutengeneza bidhaa nafuu mfano jezi sio wote waneweza ku afford elf 35 kungekua na jezi hadi ya elfu 15 huko vijinini wana vaa sana jezi feki kwa bei rahisi hio pesa ingeweza kuingia kwenye vilabu tatizo lao wamelenga mijini
azam hajawekeza 48 bilion kwa simba, umeingizwa cha kike
Ni ngumu mashabiki kunua jezi original na kulipia kadi sh elfu 20..
Nirahisi kuongea kuliko kutenda..