Hivi mnatatua vipi changamoto za wapenzi wanaotaka kuwekwa status?

Hivi mnatatua vipi changamoto za wapenzi wanaotaka kuwekwa status?

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,074
Uki date na vi slay queen [emoji73] akili zao zote wamewekeza kwenye mitandao ya kijamii! Mama ya kijinga jinga ya kupostiana ndio changamoto kubwa sana aisee! Nilikuwa na tabia ya kupost ili aone yeye tu!

Sasa siku hizi na wao wamestukia anataka umpost kisha ufanye screenshoot watu wame view wangapi hapo sasa ndio changamoto ni kamtiani kidogo! Wakati umepost status kwenye WhatsApp ili iji view mwenyewe!

Yote tisa siwezi kamwe kumuweka mwanamke profile picture ya mtandao wowote wa kijamii wala hata mimi binafsi siwezi kuweka sura yangu!

Wangapi tunakutana na changamoto kama hizi kwa ma slay queen [emoji28]?

1619698798402.png

 
Huo ujinga sifanyi aise.unataka nikupost,ok nakupost lakini nablock watu wote unajiona mwenyewe.waaaiiii..mambo ya kitoto hayo.nonsense

Unamaanisha kublock contact zote kwenye simu yako upoteze michongo ama vipi sijakuelewa!?
 
Unamaanisha kublock contact zote kwenye simu yako upoteze michongo ama vipi sijakuelewa!?
Ngoja nikueleweshe sasa..si unanilazimisha nikuweke status...fresh!nakuweka lakin I guarantee you nobody will see u kwenye status yangu.utajiona wewe mwenyewe na mimi niliyekuweka

Huu ni upuuzi wa watoto wa chuo na advance huko.

Nikuweke status ili nani akuone!si
 
Mm hata birthday sipostigi mtu mm hata yangu sijawahi kujiposti kiufupi mm ni mvivu kutumia WhatsApp na instagram ñdo nimeshindwa kbsàa mitandao yang pendwa kila saa ni hapa JF , Twitter na Facebook over na tanderm
 
Back
Top Bottom