Hivi mnatatua vipi changamoto za wapenzi wanaotaka kuwekwa status?

Hivi mnatatua vipi changamoto za wapenzi wanaotaka kuwekwa status?

Mimi nakupost ila My Dear, nachagua watu ambao nataka waioneeeee, nikutumie shots basi ufurah...( embu fikiria nina marafiki watoka shule ya msingi ,sekondarii, chuo, kazin) mweee nikose jamaa zangu hata 50 wakuview ili kichwa lako liwe Kubwa???


Kuhusu DP... nmeshakua SUGU, nakuweka ,unakaa hata siku nzima, ukishaliwa sasa, na DP bye byeeee


Kuhusu kuulizwa huyo ninani?? Ukishakua Sugu haukosi majibu.hata ivo mpaka nikuweke DP ,lazima kiwango chako kiwe cha SGR [emoji23][emoji23] sio nikuweke weke

Mwanamje kama Chakorii namuweka tu kwan nn bana???



Ukiona Jamaa wako au Demu wako anapost post sana watu wajinsia tofauti, ujue ni Mbwaaaaa malaya aliyekubuhu.( mwenye akili aelewe).
 
Sema nini, Embu postianeni bwanaaaa kwan shi ngapi???


Mapenzi ya kuwekana Moyoni ya kizaman, huko Moyoni nani anamwona????

Simnasema, nitakupenda na kufanya Dunia nzima ijue nakupenda??

Sasa Huko moyoni nani atamuona?? Ataaminije kama unampenda na Dunia inajua??

Mpost bwanaaaa alaaaaaaa.

Mapenzi ni matendo, namatendo ndo hayo ya kupostianaaa wasap, ig, twt,JF, fB n.k[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



[emoji117][emoji117]Mimi sitaki kupendwa na MwanaJF, tafadhal sanaaa kama una nijua, usije kunipost [emoji23][emoji23][emoji23]
 
UGUMU WA KUPOSTIANA
[emoji116]
[emoji117]wanaume ni matokeo ya mwanaume kua Malaya na akianza/Akiwa anakupost mwanamke mmoja ujue katulia, ila wakupost wengne kila kukicha ujue ni Malaya Sugu.

[emoji117]Wanawake , hawez kukupost kama
[emoji117]HAUNA PESA
[emoji117]UNA MWONEKANO MBAYA
[emoji117]HAUPO NADHIFU.
[emoji117]Ikiwa hana uhakika na mahusiano yako km yatadumu ( Mwanamke atachezea yote, lkn wengi hawapendi Value yao ichezewe ila ndo ivo, wanajikuta imeshachezewa



Kuna mwanamke aliniweka mpaka DP ya moyon mwake, yaan aliniweka Kila mtandao wakijamii anotumia, yaaan aliniweka mpaka Wallpaper za ukurasa wa kuandika Jumbe


Mkichat anapiga screenshots anakutumia. Basi najionaaaa weee ,kidume nasema mtoto kanielewa


Kumbe mbwa yule alikua ni gia yake ya kunipiga mziinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnawadekeza huo muda wa kuniuliza huo utoto anaupata wap Nina mamb meng ya kufanya niendekeze utoto
 
Wakati ukuta

Kila jambo na wakati wake,,,... Wewe muweke status tu.. Ila ukiona demu anakupangia vitu kama hvo ujue bado mna utoto flani hvi au maisha mboga sana...

Kwa ugumu huu wa maisha,, na bado mnagombana kuwekana status..

Mapenzi ufalla sana
 
Back
Top Bottom