Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Mda huu kuna mtu kimeumana kwenye status
Huo ujinga sifanyi aise.unataka nikupost,ok nakupost lakini nablock watu wote unajiona mwenyewe.waaaiiii..mambo ya kitoto hayo.nonsense
Sisi yetu ni kusema 'mtanikumbuka' manake huyu pekee ndio alikuwa na uwezo wa kumtoa mtu madarakani ndani ya dk1Halafu nashangaa hadi leo yupo madarakani
Huo ujinga sifanyi aise.unataka nikupost,ok nakupost lakini nablock watu wote unajiona mwenyewe.waaaiiii..mambo ya kitoto hayo.nonsense
Ngoja nikueleweshe sasa..si unanilazimisha nikuweke status...fresh!nakuweka lakin I guarantee you nobody will see u kwenye status yangu.utajiona wewe mwenyewe na mimi niliyekuwekaUnamaanisha kublock contact zote kwenye simu yako upoteze michongo ama vipi sijakuelewa!?
Wewe crush wangu sikufanyii hivyo😁😁[emoji23][emoji23] hadi mimi ?
Halafu nashangaa hadi leo yupo madarakani
Wewe crush wangu sikufanyii hivyo[emoji16][emoji16]
Hatari sana Chief[emoji4][emoji3059] burudani sana
Hatari sana Chief
Hatari sana Chief
Isiyodhuru hatariHatari isiyodhuru