Hivi mnatumia technic gani kupata likes nyingi humu JF?

Bwajilo

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2021
Posts
361
Reaction score
926
Nimeshangaa kuona kuna watu wana likes zaidi ya laki na nikashangaa wengine hawana hata likes 20 hawana na ukute account ina miaka 10.

Sasa mimi ni wakuja humu, najua Kuna wenyewe ombi langu utakaefanikiwa kusoma uzi huu Mimi nakuomba like hii post kama utashindwa kutoa mbinu gani nitumie nibust like zangu kama mlivyo wenzangu.
 
🤣🤣🤣 Hizi social media zimekuja na mambo yake. Wengine wanadiliki hadi kuvua huko wapate likes
 
Huku sio insta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…