Hivi mnatumia technic gani kupata likes nyingi humu JF?

Hivi mnatumia technic gani kupata likes nyingi humu JF?

Kwani umeambiwa watu wakilike unapata pesa...
 
Nimeshangaa kuona kuna watu wana likes zaidi ya laki na nikashangaa wengine hawana hata likes 20 hawana na ukute account ina miaka 10.

Sasa mimi ni wakuja humu, najua Kuna wenyewe ombi langu utakaefanikiwa kusoma uzi huu Mimi nakuomba like hii post kama utashindwa kutoa mbinu gani nitumie nibust like zangu kama mlivyo wenzangu.

muulize Dj moderater wa JF
 
Back
Top Bottom