Hivi mnatumia technic gani kupata likes nyingi humu JF?


Nenda uzi wa kupeana likes, hata ukiandika unauza tiketi za kwenda mbinguni, unakula likes kama zote...
 
Sasa babe si unajua ukinitongoza nikikubali tu kesho yake inakuwa ni birthday yangu, na siku mbili mbele simu inavunjika kioo nitataka mpya. Halafu na sikukuu imekaribia. Nakuonea huruma my.
Aaah nimesahau tuachane nayo hayo mambo ya kizungu na tozo yenyewe ilivyo juu, utaniuwa mywangu 😀
 
Nyuzi za likizo time..
Shule zifunguliwe tupumue.
 
Acha udwanzi, likes zitakupeleka wapi? Umejoin juzi tu hapa. Weka picha yako tuone T*ko kama ni Ke. Utazikimbia likes.
 
Inabidi ujiulize yaani likes for what?yaani what will you gain from having many likes
Acha basi nimekuambia likes ni kipimo cha acceptance and appreciation. Kila mtu angependa kuona kama alifanya jambo zuri awe rewarded.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…