Hivi mnawezaje kukaa wiki, miezi hata mwaka bila kufanya tendo?

Hivi mnawezaje kukaa wiki, miezi hata mwaka bila kufanya tendo?

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Rasmi nimeshindwa kabisa kustaafu hizi mambo daah yaani mwili unataka kila siku nichakate .

Naweza chakata hata mara tano afu sichoki wakuu hii ni kawaida kweli??

kukaa siku moja bila kuchakata ni mtihani

Wakuu nyie mnawezaje kukaa wiki, mwezi bila kufanya tendo la ndoa??
 
IMG-20250904-WA0318.jpg
 
mimi kwa sababu tangu nizaliwe cjai tongoza mdada yeyote wala kushiriki tendo nataka nibaki hivyo ili nikifa nivunje rekodi ya dunia
Rekodi gani unataka uvunje? maana kuna watu wengi wamefariki bila kudinyana!
 
🙌 kama hujaolewa au huna mwanamke utakuwa una... Na nani sasa?
Nani anataka kubeba mamikosi ya watu🤮🤮🤮
Chill
 
Wenzako wanavamia Nje huko wanatafuta Vibibi vizee wanapata Faida za Uchakataji na Urithi wanapata , wewe unachakata Bila Faida
 
Back
Top Bottom