Hivi mnawezaje kukaa wiki, miezi hata mwaka bila kufanya tendo?

Rasmi nimeshindwa kabisa kustaafu hizi mambo daah yaani mwili unataka kila siku nichakate .

Naweza chakata hata mara tano afu sichoki wakuu hii ni kawaida kweli??

kukaa siku moja bila kuchakata ni mtihani

Wakuu nyie mnawezaje kukaa wiki, mwezi bila kufanya tendo la ndoa??
Acha kuwaza chini muda wote mkuu. Umeshaandaa urithi wa watoto wako wa kutosha au unasubiri kuitwa baba wa hovyo?
 
Rasmi nimeshindwa kabisa kustaafu hizi mambo daah yaani mwili unataka kila siku nichakate .

Naweza chakata hata mara tano afu sichoki wakuu hii ni kawaida kweli??

kukaa siku moja bila kuchakata ni mtihani

Wakuu nyie mnawezaje kukaa wiki, mwezi bila kufanya tendo la ndoa??

HAKUNA JAMBO LA AJABU HAPO. NI KAWAIDA SANA. SI JAMBO LA KUANZISHIA UZI.
 
Back
Top Bottom