Hivi mnazungumziaje bifu la Shilole na Esha Buheti, mbona limefika pabaya sana

Hivi mnazungumziaje bifu la Shilole na Esha Buheti, mbona limefika pabaya sana

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Hili bifu naona limevuka mpaka sasa, yani ukiona kuna bifu mpaka kufika hatua ya kukataa kuzikana ujue hilo bifu si la kitoto.

Ila ninachojiuliza mimi , bifu lao ni hiyo tuzo tu au kuna lingine chini ya kapeti?

Esha nimemuona mshamba sana binafsi nipo upande wa Shilole , yeye mbona alipopewa tuzo mwaka jana hakuna aliyepiga kelele ,mbona mwenzake alichukulia poa tu na maisha yakasonga?

Eti mwaka huu kakosa tuzo kaanza vijimaneno maneno kama huo sio uchawi na husda ni nini?

Ila kwa Shishi , Buheti ameyakanyaga , Shishi ni chizi ujue 😂😂😂😂😂😂 ameshindwa Snura sembuse Buheti.

Na hiyo pointi ya kusema yeye anajua kupika kuliko Shishi ni pointi ya kipumbavu , watu tunaangalia mafanikio ya biashara yako ndipo tuna kupa tuzo ya mpishi bora.

Na alivyo mjinga eti anasema Shishi anapenda kuwapa watu chakula bure ili aonekane ana watu wengi ,haloo hapa nimemdharau Buheti kwa kiasi kikubwa sana.

Mafanikio ya Shishi hayajifichi,

Shishi ameshajitafuta sana kwenye uigizaji hakujipata , akajaribu muziki pia hakujipata ila tangu aingie kwenye chakula amejipata mno hivyo Buheti asijilinganishe na Shishi.

Yeye Buheti hata mtaji wenyewe wa biashara kahongwa na bwana wake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Buheti acheze anapochezaga , uchawi sio dili 😂😂😂

Eti Ki Buheti kimepaniki mpaka kinasema akifa hataki Shilole amzike ,So whaaaat , yeye ni nani haswa ? Wakati hata udugu na Shilole hawana 😂😂😂😂😂


Na Shilole kashamwambia akiona amepaniki sana aje wazichape 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 maana Buheti alimuanza shilole kwa kukwambia eti amezoea kuonea mabwana wake kwake amegonga ukuta,Shishi kaona mambo yasiwe mengi wakutane wachapane , Buheti kachana nyavu kaogopa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Mwambieni Buheti asishindane na Shilole, Shilole ni chizi ujue na yeye haogopi kudhalilika kwa lolote yeye yupo freshi

Screenshot_20240726-163131_1.jpg

Esha Buheti .
Screenshot_20240726-163415_1.jpg

Zuwena Mohammed (Shilole/Shishi).
 
Bro umekosa mishe za kutafuta hela mpaka unapoteza muda kutuandikia habari kike? Mbaya zaidi unasema upo upande wa Shishi serious? Wanaume wanapenda sana udaku siku hizi kama mademu. Acha hii tabia mara moja.
 
Back
Top Bottom