Zee Korofi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 1,604
- 1,430
Hapana, ila nimeshauona USO wake mara kadhaa, pamoja na reaction yake anapoongea na MTU/watu!"Anaonekana" ulishawahi kukutana nae??
Duh! Ukiwa kama Putin, unatakiwa kuwa smart mpaka kitandani. Haifai mtu kama Putin kuwa sexually unstable, ni aibu.Yes divorced from her jew wife . And 2 daughters and some say he has twins with former Olympic champion . So yeah ila he never allowed his family to go public and no one knows where they live the 2 daughters but the ex wife remarried .
Samson is not Putin, naliongelea jabali la Urusi!Ulishaona mkate unakakamaa mbele ya chai mkuu, hujui kiumbe kinaitwa mwanamke? Kamuulize Samson alikuwa kauzu kweli ila Delilah alifanya yake
Hivi Putin na kiduku wa Korea nani hafai dunianiSamson is not Putin, naliongelea jabali la Urusi!
Jibu unalo na liko wazi.!Hivi Putin na kiduku wa Korea nani hafai duniani
Duuuh! Jamaa anaonekana mchovu kwenye sex nini?Mkewe walishaachana na akapewa nyumba uko Ufaransa na muda huo alikuwa anaonekana na jamaa mwingine sometimes. Putin kabla hajaachana na Lyudmila Putina walikuwa wametengana muda mrefu isivyo rasmi.
Watoto wao Maria na Katerina wakubwa tu sasa na mmoja anaongoza kitengo fulani cha sayansi kwenye chuo kikuu flani
Wanalindwa umesema, sasa hiyo interview inatoka wapi? Na umesema ukijichanganya kuwafuata unakufa, mbona wameolewa na wamezalishwa?sure . Na No one knows where Putin children are but they are all married and have children . And looking for them is kind of a crime . Wana walinzi 24 /7 but they are not allowed [emoji724] to talk to them . Wana watch from a distance. So they know . One daughter said from the interview [emoji2] [emoji3] so jichanganye unakufa hata watoto they don’t know your looking for them .
Urusi ina viongozi wengi ambao hawana time na familia. Putin ana mwanamke mwingine sijui alikuwa miss au kitu kama hicho anayependana naye kwa siri. Urusi wadada wazuri kwa kawaida ni wacheza tennis, air hostess, waimba opera, mamiss, gymnastics.Duuuh! Jamaa anaonekana mchovu kwenye sex nini?
The interview it’s when they ware still little girls sio watu wazima na marriage walioa sio watu wa mchezo mmoja amedivorce na mtoto wa billionaire huko russia .Wanalindwa umesema, sasa hiyo interview inatoka wapi? Na umesema ukijichanganya kuwafuata unakufa, mbona wameolewa na wamezalishwa?