Hivi 'mnyama' Putin ana familia kweli?

Hivi 'mnyama' Putin ana familia kweli?

Zee Korofi

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2021
Posts
1,604
Reaction score
1,430
Hili jabali la Urusi, jitu lisilo na mizaha, jitu lisiloogopa wala kuyumbishwa. Hivi jamaa ana mke au watoto? Anaonekana katili mno, mke wake(kama anaye) si anapata shida mno?

Hivi ana familia huyu jasusi?
 
Yes divorced from her jew wife . And 2 daughters and some say he has twins with former Olympic champion . So yeah ila he never allowed his family to go public and no one knows where they live the 2 daughters but the ex wife remarried .
 
unaambiwa mwendazake na wote waliotawala afrika wanasubiri kwa roho yake nyeusi kuliko rangi yake.

hata kiduku mwenyewe ujawahi kuona kamjambia.

kuna siku putin aliulizwa

mwandishi cnn :"inakuwaje kwa nini mjikiti kutengeneza manuali,mandege kwa ajili ya wanajeshi !"

putin:" siwezi kupoteza pesa na wanajeshi wakati na makombora ya kusambaratisha mpaka dunia "

wewe hapo unamuona huyo ni nani !
 
Ulishaona mkate unakakamaa mbele ya chai mkuu, hujui kiumbe kinaitwa mwanamke? Kamuulize Samson alikuwa kauzu kweli ila Delilah alifanya yake
 
Yes divorced from her jew wife . And 2 daughters and some say he has twins with former Olympic champion . So yeah ila he never allowed his family to go public and no one knows where they live the 2 daughters but the ex wife remarried .
Duh! Ukiwa kama Putin, unatakiwa kuwa smart mpaka kitandani. Haifai mtu kama Putin kuwa sexually unstable, ni aibu.
 
Ulishaona mkate unakakamaa mbele ya chai mkuu, hujui kiumbe kinaitwa mwanamke? Kamuulize Samson alikuwa kauzu kweli ila Delilah alifanya yake
Samson is not Putin, naliongelea jabali la Urusi!
 
Alioa Mkewe Lyudimila, nadhani walishaachana.

Kwenye ndoa yake na Lyudimila walibahatika kujaliwa Mabinti Wawili Maria na Yekaterina.
 
sure . Na No one knows where Putin children are but they are all married and have children . And looking for them is kind of a crime . Wana walinzi 24 /7 but they are not allowed 🚫 to talk to them . Wana watch from a distance. So they know . One daughter said from the interview 😃 😀 so jichanganye unakufa hata watoto they don’t know your looking for them .
 
Mkewe walishaachana na akapewa nyumba uko Ufaransa na muda huo alikuwa anaonekana na jamaa mwingine sometimes. Putin kabla hajaachana na Lyudmila Putina walikuwa wametengana muda mrefu isivyo rasmi.

Watoto wao Maria na Katerina wakubwa tu sasa na mmoja anaongoza kitengo fulani cha sayansi kwenye chuo kikuu flani
 
Duuuh! Jamaa anaonekana mchovu kwenye sex nini?
 
sure . Na No one knows where Putin children are but they are all married and have children . And looking for them is kind of a crime . Wana walinzi 24 /7 but they are not allowed [emoji724] to talk to them . Wana watch from a distance. So they know . One daughter said from the interview [emoji2] [emoji3] so jichanganye unakufa hata watoto they don’t know your looking for them .
Wanalindwa umesema, sasa hiyo interview inatoka wapi? Na umesema ukijichanganya kuwafuata unakufa, mbona wameolewa na wamezalishwa?
 
Ana Watoto 4

Wakiume wawili mapacha aliozaa na Yupe Dada Bingwa wa Olimpiki..

NA Wale wasichana wawili wa Ndoa yake ya Kwanza wote wakubwa watu wazima wana watoto na wao ila Kutokana na protocol za usalama wanafichwa sana hata Sura nadhani inawasaidia Kuishi kwa amani Pia mana kujulikana kwao ingekua mateso...
ULINZI ni mkubwa na Masaa yote wanalindwa.
 
1639254400718.jpeg

Alioa mke wa ujanani, huyu mama anaongea lugha saba. Waliachana baada ya Urais wake awamu ya kwanza.
 
Duuuh! Jamaa anaonekana mchovu kwenye sex nini?
Urusi ina viongozi wengi ambao hawana time na familia. Putin ana mwanamke mwingine sijui alikuwa miss au kitu kama hicho anayependana naye kwa siri. Urusi wadada wazuri kwa kawaida ni wacheza tennis, air hostess, waimba opera, mamiss, gymnastics.

Putin maisha yake ni siri tangu anajiunga na KGB na hajawahi kuwa muwazi. Hata wanawe haijulikani ni wawili tu wa ndoa ama ana wengine, kuna mdada mwingine wanasema ni mwanae. Hata hao wanaojulikana huwapati hata picha zao za kitambo
 
Wanalindwa umesema, sasa hiyo interview inatoka wapi? Na umesema ukijichanganya kuwafuata unakufa, mbona wameolewa na wamezalishwa?
The interview it’s when they ware still little girls sio watu wazima na marriage walioa sio watu wa mchezo mmoja amedivorce na mtoto wa billionaire huko russia .
 
Back
Top Bottom