Anatakiwa awape Simba sports club company,Mi naelewa kwamba kama mtu unakampuni, tuseme mtaji wake ni 1,000,000 na wewe ni mmiliki asilimia 100. Ukimuuzia mtu asilimia 50 ya kampuni basi atakupa 500,000 na wewe utazitia mfukoni na kwenda kunywa bia , kuhonga nk.
Sasa Mo anavyonunua hisa na kutoa hizo 20 b anamkabidhi nani ambaye ndiyo mmiliki wa Simba?
Wadhamini wa klabu kwa niaba ya wanachamaMi naelewa kwamba kama mtu unakampuni, tuseme mtaji wake ni 1,000,000 na wewe ni mmiliki asilimia 100. Ukimuuzia mtu asilimia 50 ya kampuni basi atakupa 500,000 na wewe utazitia mfukoni na kwenda kunywa bia , kuhonga nk.
Sasa Mo anavyonunua hisa na kutoa hizo 20 b anamkabidhi nani ambaye ndiyo mmiliki wa Simba?
Well said.Anatakiwa awape Simba sports club company,
Na hela itakua deposited kwenye account ya kampuni,
Nadhani nimekujibu swali lako vizuri.
Nani anayemiliki hiyo Simba sport club company. Maana huyo ndiye hasa anauza hisa na ndiye anatakiwa kupewa pesa.Anatakiwa awape Simba sports club company,
Na hela itakua deposited kwenye account ya kampuni,
Nadhani nimekujibu swali lako vizuri.
According to FFC,Simba bado hawajakamilisha mchakato,kwahiyo Simba bado haijawa kampuni,Nani anayemiliki hiyo Simba sport club company. Maana huyo ndiye hasa anauza hisa na ndiye anatakiwa kupewa pesa.
Ampe Kigwangalla!Mi naelewa kwamba kama mtu unakampuni, tuseme mtaji wake ni 1,000,000 na wewe ni mmiliki asilimia 100. Ukimuuzia mtu asilimia 50 ya kampuni basi atakupa 500,000 na wewe utazitia mfukoni na kwenda kunywa bia , kuhonga nk.
Sasa Mo anavyonunua hisa na kutoa hizo 20 b anamkabidhi nani ambaye ndiyo mmiliki wa Simba?
Hapo kidogo nimekupata mkuu. Kwahiyo hao members/wanachama watageuzwa kuwa wanahisa(maana si ndiyo wamiliki wa club) na kisha waingiziwe mpunga?According to FFC,Simba bado hawajakamilisha mchakato,kwahiyo Simba bado haijawa kampuni,
Mo dewji hauzi shares,ila ana mpango wa kununua shares za 49% ambazo zina gharimu 20B kwa mujibu wake na viongozi wa Simba,
Kwa madai yao mchakato ukikamilika wa ku-transform club from member's tier to shareholders' tier ndo ataweka mzigo,
Ikumbukwe Simba wanatumia mfumo wa 'board of directors' ilihali club bado haijawa transformed,
Karibu.
Anatakiwa awape Simba sports club company,
Na hela itakua deposited kwenye account ya kampuni,
Nadhani nimekujibu swali lako vizuri.
Kutokana na sheria na taratibu zetu,wananchii(wanachama wa Simba) ndo watakua wamiliki wa hizo 51%,Maana Mo alitakaga kuchukua 100% ila sheria ikambana.Hapo kidogo nimekupata mkuu. Kwahiyo hao members/wanachama watageuzwa kuwa wanahisa(maana si ndiyo wamiliki wa club) na kisha waingiziwe mpunga?
Simba ni mali yao, wameamua tu kuuza 49 percent kwa twenty Bln. watoe nini tena?Na wao Simba wanatoa nini?.
Na hizo hela zitarudi vipi.au ni msaada?
Kama moo amepewa hisa ya 49% na anatakiwa atoe bilioni 20.
Simba waliobaki na hizo asilimia 51% wao wanatoa nini?
Simba ni mali yao, wameamua tu kuuza 49 percent kwa twenty Bln. watoe nini tena?
Simba hawatoi kitu maana wao ndio brand/project ambayo Mo anakusudia kuweka mzigo in a return of profit,Na wao Simba wanatoa nini?.
Na hizo hela zitarudi vipi.au ni msaada?
Kama moo amepewa hisa ya 49% na anatakiwa atoe bilioni 20.
Simba waliobaki na hizo asilimia 51% wao wanatoa nini?
Kulikuwa na makubaliano namna gani pesa itatoka.Watu hawaelewi uwekezaji huo, pesa huwa hazitoki kwa mkupuo mmoja,,inatoka in installments over a specific period of time
Wazee wa mujiniMi naelewa kwamba kama mtu unakampuni, tuseme mtaji wake ni 1,000,000 na wewe ni mmiliki asilimia 100. Ukimuuzia mtu asilimia 50 ya kampuni basi atakupa 500,000 na wewe utazitia mfukoni na kwenda kunywa bia , kuhonga nk.
Sasa Mo anavyonunua hisa na kutoa hizo 20 b anamkabidhi nani ambaye ndiyo mmiliki wa Simba?