Chwekamu
JF-Expert Member
- Nov 1, 2017
- 507
- 497
Wachezaji wa Simba ni asset ya Simba wanapokuwa wana mkataba na Simba.Swali langu kwa wale watalaamu wa uhasibu,Hivi simba ikiwa kampuni Assets zinatajumuisha na wachezaji? na kama hapana vipi pale wanapouza wachezaji wanakuwa wanauza nini ki- uhasibu, yaani treatment yake kwenye vitabu inakuwaje.Angalizo hapa panahitaji jibu la kihasibu,kama siyo mhasibu jipe nafasi ujifunze kutokana na majibu.