Hivi Mo dewji anamwaga mabilioni ya Usajili Kigwangala huwa anakuwa wapi?

Hivi Mo dewji anamwaga mabilioni ya Usajili Kigwangala huwa anakuwa wapi?

Kuna kitu huwa sielewi naomba mnieleweshe. Kwa mujibu wa mchakato wa mabadiliko, wanachama wanamiliki 51% ya hisa pale Simba na Mo (mwekezaji) anamiliki 49%.

Sasa inakuwaje pesa za usajili tunategemea Mo ndio atoe nyingi kuliko wanachama?????
MO pesa za usajili hatoi kama sadaka, anatoa kwa makubaliano maalum Sasa akija kuwaeleza amesha tumia bilioni 100 na Simba Alisha inunua baadhi ya mashabiki Wana shangaa.

Asipotia fedha Wana lalamika ila wanataka usajili mzuri, Timu Ina mashabiki wa ajabu Sana.
 
Aweke yeye na asajiri sasa, muda ndo huu, anakwamaa wapiii?

Kwani Kigwangala ni muwekezaji wa simba? Ana share zozote simba? Tunamzungumzia Tajiri MO mwenye hisa simba ,Kigwangala kama mwanachama ana haki ya kujua zile 20B za uwekezaji aliziweka BANK gani?
 
Mpumbavu yule, hawezi hata kutuma nauli ya Mpanzu toka Congo
Kigwa yalimshinda ya baba yake ataweza ya Simba?
 
Mo kaamua kumwaga mpunga,ni kweli yupo sawa anatokaga na hoja sasa ajitokeze tajiri kachafukwa,
 
Back
Top Bottom