Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
- Thread starter
- #41
๐๐๐๐Hizi akili ndio zinasababisha mashabiki wa simba kuonekana vituko...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐Hizi akili ndio zinasababisha mashabiki wa simba kuonekana vituko...
Moja kati ya vyanzo vya Simba ni grants kutoka kwa wadau mbalimbali. Kigwa kama mdau muhimu atoe basi hela wakati huu wa uhitaji, sio kubwabwaja tu. Kumbuka alishawahi kusema anaweza kufanya hivyo.Kwani Kigwangala ni muwekezaji wa simba? Ana share zozote simba? Tunamzungumzia Tajiri MO mwenye hisa simba ,Kigwangala kama mwanachama ana haki ya kujua zile 20B za uwekezaji aliziweka BANK gani?
Yes kigwa ni mdau na anachangia kupitia uwanachama wake wa simba...Challenge zote za simba za kurise fund anashiriki.Moja kati ya vyanzo vya Simba ni grants kutoka kwa wadau mbalimbali. Kigwa kama mdau muhimu atoe basi hela wakati huu wa uhitaji, sio kubwabwaja tu. Kumbuka alishawahi kusema anaweza kufanya hivyo.
Nadhani hiyo asilimia 51, ni hewa yaani haina hela swali fikirishi je hiyo asilimia 49 Hela iko kwenye accountKuna kitu huwa sielewi naomba mnieleweshe. Kwa mujibu wa mchakato wa mabadiliko, wanachama wanamiliki 51% ya hisa pale Simba na Mo (mwekezaji) anamiliki 49%.
Sasa inakuwaje pesa za usajili tunategemea Mo ndio atoe nyingi kuliko wanachama?????
Sio pongezi, atoe helaKigwangala yuko wapi atoe pongezi ?
Kigwa toka anyimwe bodaboda amekuwa mropokaji sanaKigwangala yuko sawa bil 20 mwamedi ndo hataki kusema ameweka acc gani. Sema mwamedi anajua mashabiki wa simba ni mazezeta hawana ujanja wakuhoji.
Nimebidi nicheke kwanguvu๐๐Hakika pesa inamwagika msimu huu pale msimbazi
Kigwangala yuko wapi atoe pongezi ?
Ziko kwenye m-pesa Yako angalia vizuriKanjibai atuoneshe hizo billioni ishirini ziko benki gani ????