Hahah!!Hili jicho la kusubiri mwenye bando hili.
Aisee kama lipo ukingoni usiangalie tusije tukakukosa kwa muda humuHahahaaaa. Lol.
Bando lenyewe limeishia kule. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwifwa njoo nahis utakuwa na bandoHili jicho la kusubiri mwenye bando hili.
namuona kumbe nae kafulia kama sisi tuNgoja tumsubiri
Hahahaaaaa. Nitakuwa kama wewe tu sasa.Hahah!!Aisee kama lipo ukingoni usiangalie tusije tukakukosa kwa muda humu
Hahahaaaa. Ngoja aje aokoe jahazi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwifwa njoo nahis utakuwa na bando
Anahaki kufulia maana tokea asubuhi namuona kwenye nyuzi za video tu, sijui anatafuta nini?namuona kumbe nae kafulia kama sisi tu
namuona kumbe nae kafulia kama sisi tu
Majanga! Na mie nilikuwa nasubiri mfungue mnisimulieHahahaaaaa. Nitakuwa kama wewe tu sasa.
Hahah!! Na tayari tumesha fanana sasaHahahaaaaa. Nitakuwa kama wewe tu sasa.
Hahaaa. Si wanjua tena nikiwa na bando sipitwi Hajar mie. Hahahaaaaa.Anahaki kufulia maana tokea asubuhi namuona kwenye nyuzi za video tu, sijui anatafuta nini?
Aya kaa kwenye foleni tusubiri mkomboziMajanga! Na mie nilikuwa nasubiri mfungue mnisimulie
Hahahahaaaaa. Lol.Majanga! Na mie nilikuwa nasubiri mfungue mnisimulie
maan ni aibu hiiHahahaaaa. Ngoja aje aokoe jahazi.
mna roh mbay nyie mbon hamniitiAnahaki kufulia maana tokea asubuhi namuona kwenye nyuzi za video tu, sijui anatafuta nini?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa. Si wanjua tena nikiwa na bando sipitwi Hajar mie. Hahahaaaaa.
Sasa Mb zote kwisha. Lol
hhahh ngoja mkombozi mwifwa aje akiwa apeche alolo tumekwishaMajanga! Na mie nilikuwa nasubiri mfungue mnisimulie
[emoji23][emoji23][emoji23]Aya kaa kwenye foleni tusubiri mkombozi
Mimi nilikua namuambia anihadisie hataki ndio mana nilishindwa kukuita, sasa sijui alikua anaona vitu gani....mna roh mbay nyie mbon hamniiti
Hapo kwenye red ulikua unataka kusema nini?mie bando mzozo mmeona nin mliofungua[emoji188]
Hahaaaa. Wacha kabisa.maan ni aibu hii
Cheka tu rafiki. Hahahaaaa.[emoji23][emoji23][emoji23]