Hivi Mose Iyobo na dancers wa WCB ndio hawana kazi tena?

Hivi Mose Iyobo na dancers wa WCB ndio hawana kazi tena?

Mara ya mwisho nilikutana nae N.Korea sijui alikuwa na project gani huko, ila kwenye mazungumzo niliyo fanya nae kumdadisi nilimshtukia alikuwa na deal la € Bilion 60 la kununua Nuclear Bomb ma 2 ya masafa marefu sijui kama atakuwa alishanikisha azma yake
Maneno yako yanaendana na id yako
 
Wangekkuwa hawahitajika angewaondoa au wangeondoka we viiip
 
Wapo madale iyobo na mkewe wanatengeneza shoo za uck wa bunyero bunyero
Ha! Ha! Ha! Bunyero Bunyero! Wana Purojekiti hatari sana hawa watu! Last time walikua na Purojekiti Uno la uswazi na uno la kishua!
 
Anti Ezekiel ndo analipa bills. Kijana wacha alelewe
 
Wakati Diamond alivokuwa anatoka kimziki alikuwa ana uhitaji wa dancers lakini nyimbo zake za siku hizi hahitaji tena dancers mfano nyimbo alizotoa hivi karibuni, dah wanahuzunisha kweli ata trip za nje hawaendi sijui wako wapi now.
Unatafuta danga WCB ?
 
Back
Top Bottom