Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaweka Ugoko, ukaweka Jiwe.Humohumo
Maneno yako yanaendana na id yakoMara ya mwisho nilikutana nae N.Korea sijui alikuwa na project gani huko, ila kwenye mazungumzo niliyo fanya nae kumdadisi nilimshtukia alikuwa na deal la € Bilion 60 la kununua Nuclear Bomb ma 2 ya masafa marefu sijui kama atakuwa alishanikisha azma yake
Mwambieni Iyobo Harmo Rapa anatafuta Madancer.Wakati diamond alivokua anatoka kimziki alikua ana uhitaji wa dancers lakini nyimbo zake za siku hizi hahitaji tena dancers mfano nyimbo alizotoa hivi karibuni, dah wanahuzunisha kweli ata trip za nje hawaendi sijui wako wapi now
Ha! Ha! Ha! Bunyero Bunyero! Wana Purojekiti hatari sana hawa watu! Last time walikua na Purojekiti Uno la uswazi na uno la kishua!Wapo madale iyobo na mkewe wanatengeneza shoo za uck wa bunyero bunyero
Unatafuta danga WCB ?Wakati Diamond alivokuwa anatoka kimziki alikuwa ana uhitaji wa dancers lakini nyimbo zake za siku hizi hahitaji tena dancers mfano nyimbo alizotoa hivi karibuni, dah wanahuzunisha kweli ata trip za nje hawaendi sijui wako wapi now.
Kama unatafuta bwana wa kukupa 70K WCB we funguka tu mkuu .Mama dangote ndo naemwinda
Fresh.Dah haya bwana
[emoji120][emoji17]