Hivi Mose Iyobo na dancers wa WCB ndio hawana kazi tena?

Tufanye kama kitendawili maana naona hamna aliyeangalia,ngoja tumpe mji yy mwenyewe atatuambia kafanya nini,haya nenda KIBITI.Kama umekubali tuambie huyo jamaa kafanyaje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]looh ina maan tumekosa mkombozi aisee
 
Sawa inaelekea wengi wenu bando ni utata, acha niwasaidie hiyo video ya pili kuna wadada wawili wanashinda kucheza siunajua tena mambo ya break dance na ninii kiasi kwamba yule mshikaji wa WCB anayetisha kwa kucheza anasubili. Okay now let us go all the way to the first video .

Video ya kwanza, vile inaanza tuu kuna wadada wa tatuuu warembo ile mbaya afu kuna mnyamwezi ( jamaa )katupia ile mbaya anapita mbele ya wadada watatuuu visuuu balaaa bila ya kuwasalimia wala nini afu mbeleee anajiona star na kuanzaa kunaniiiiii..........!!!! Sema nini huku nilipo internet inazinguaaa hivyo ntamalizia kesho.
 
Hahahah
 
aise hii ya kwanza ukifika katikati kuna video mbili za ngon0 za kibongo za wale wanafunz wa UDOM, SAUT, na kile chuo cha ustawi wa jamii.. mmh kweli wazazi wana kazi vyuo vikuu vinageuka kua vyuo vya ng0no zembe,,
 
aise hii ya kwanza ukifika katikati kuna video mbili za ngon0 za kibongo za wale wanafunz wa UDOM, SAUT, na kile chuo cha ustawi wa jamii.. mmh kweli wazazi wana kazi vyuo vikuu vinageuka kua vyuo vya ng0no zembe,,
Hahahaha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…