ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
oooh nashukur mwayaKuna mtu anapita mbele ya wadada watatu walioketi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
oooh nashukur mwayaKuna mtu anapita mbele ya wadada watatu walioketi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi Mwenyewe Sina Mb,nimejikuta Nimesoma Commentr 61 zote,kwa kujua kuwa kuna ambae ameangalia,ama kweli vyuma vimekaza,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]looh ina maan tumekosa mkombozi aiseeTufanye kama kitendawili maana naona hamna aliyeangalia,ngoja tumpe mji yy mwenyewe atatuambia kafanya nini,haya nenda KIBITI.Kama umekubali tuambie huyo jamaa kafanyaje.
Nipo tu ukhuty I miss u too.hha upo mdogo wangu hadi nakumis
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi hata sielewi yani..
Sasa mdogo wangu unashukuru wakati ajamaliza kuihadithia video yote.oooh nashukur mwaya
Yaani kweli usawa sio huu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]looh ina maan tumekosa mkombozi aisee
AlafuKuna mtu anapita mbele ya wadada watatu walioketi.
HahahahSawa inaelekea wengi wenu bando ni utata, acha niwasaidie hiyo video ya pili kuna wadada wawili wanashinda kucheza siunajua tena mambo ya break dance na ninii kiasi kwamba yule mshikaji wa WCB anayetisha kwa kucheza anasubili. Okay now let us go all the way to the first video .
Video ya kwanza, vile inaanza tuu kuna wadada wa tatuuu warembo ile mbaya afu kuna mnyamwezi ( jamaa )katupia ile mbaya anapita mbele ya wadada watatuuu visuuu balaaa bila ya kuwasalimia wala nini afu mbeleee anajiona star na kuanzaa kunaniiiiii..........!!!! Sema nini huku nilipo internet inazinguaaa hivyo ntamalizia kesho.
alaa kumbe dad hakumalizaSasa mdogo wangu unashukuru wakati ajamaliza kuihadithia video yote.
Hebu mwambie aongeze ongeze nyama basi. [emoji12] [emoji12]
umeonaeeYaani kweli usawa sio huu. [emoji23]
Hakumaliza ile video inaonekana ni ndefu. Teh teh tehalaa kumbe dad hakumaliza
Mimi nipo ila sometimes box hazinipi nafasi kuingia humu ila tupo pamoja,msalimie "Yule" sana tu.usipotee sana tunakupenda mnoo ahadi yetu bado ipo
Hahahaha...aise hii ya kwanza ukifika katikati kuna video mbili za ngon0 za kibongo za wale wanafunz wa UDOM, SAUT, na kile chuo cha ustawi wa jamii.. mmh kweli wazazi wana kazi vyuo vikuu vinageuka kua vyuo vya ng0no zembe,,