Hivi mpenzi kukupigia simu kila saa ni sawa tuseme ni mapenzi au kero ?

Hivi mpenzi kukupigia simu kila saa ni sawa tuseme ni mapenzi au kero ?

Sometimes ni monitoring and control mechanism.

Anataka ajue upo wapi, upo na nani na unafanya nini kwa wakati huo.

Pengine anataka ajue upo wapi, upo umbali gani au upo bize kiasi gani ili akupige matukio.

Na inawezekana pia anataka ajue unasomeka au hausomeki kwenye ratiba zako ili akianza kufanya yake awe na uhakika na jambo lake.

Na hata anataka tu ajue ulipo akuagize kitu fulani. Unajua hawa viumbe, popote utakapokuwa, kasoro msalani tu, ukimtajia kuna kitu atakuagiza umpelekee tokea maeneo hayo. Utasikia, enheee, hebu pita mahali fulani nichukulie kitu fulani. Shame on them, wanaamini lazima hela utakuwa nayo tu.

Ushauri wa Mungu kwa wanaume wote: ISHINI NA WAKE ZENU KWA AKILI. Sio kwa mazoea, ni akili.

Hatakiwi kukusoma, anaweza kukuuliza upo wapi, wewe unajibu Job, mara pap dakika 2 anakuona getini au mlangoni unaingia home. Upo wapi, njiani nakuja, kumbe ndio bado upo ofisini wala huwazi kutoka.

Cc. Moto wa volcano
 
Kuna kadem kambemba km fito pale nilibug mazee kakituma msg usipo reply asee katatuma km msg jero
 
Hivi kwenye mqpenzi , kuwa na mpenzi anayekupugia simu kila wakati naona kama ni kero .

Kuna muda akili inatakiwa I focus na mambo mengine ya maisha sio kubebishana kila wakati
Tena umenikumbusha sijamtafuta toka Asubuhi 😊
 
Atazoea tu mkuu penzi jipya ilo ehhh.. lakini kama anakupenda kweli atapunguza ila Kuna kausumbufu katabakia pale pale ata uwe mkali vipi labda usipatikane
 
Atazoea tu mkuu penzi jipya ilo ehhh.. lakini kama anakupenda kweli atapunguza ila Kuna kausumbufu katabakia pale pale ata uwe mkali vipi labda usipatikane
Aiseee kazi ipo hakuna kupumua every time cm
 
Back
Top Bottom