Hivi mpenzi wako anapokuita "mubaba"anakua na maana gani?

Nisaidie namba yake ili nimuulize kwanini anakuita hivyo?
 
Posho unazompa humsaidia ktk mambo mengi.
 
Mubaba maana yake sponsor
 
Nawewe muite Mumama
 
Wewe ni mwekezaji hapo mbabaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mubaba ni danga la ki Mubaba ni danga la kiume ambaye hatulii na mke wake bali anahangaika na vitoto vya 2000.
 
mubaba=mzee wa makamu,hauko tena kwenye chart ya top20 ya kupendwa/mapenzi,ukiona mwanamke anakuita KAKA jua kwamba hakutaki anakuweka angle ya ndugu jua haujamvutia/hauvutii kimapenzi, lakini akikuita MKAKA uwezekano wa kumla tunda lake upo.jiongeze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…