Hivi Mshauri wa Saikolojia na Ndoa za watu nchini Tanzania Dkt. Mauki ndiyo kusema yeye ni Malaika na hakumbani na kero zitupatazo?

Hivi Mshauri wa Saikolojia na Ndoa za watu nchini Tanzania Dkt. Mauki ndiyo kusema yeye ni Malaika na hakumbani na kero zitupatazo?

Acha ujinga wako wewe mshenzi unajisifia kipumbavu hapa yani mda wote unashinda jamiiforum kama mimi afu unasema uko karibu na wakuu utashauri nini na kwa ubongo upi? Tuliza akili kijana
Kuwa muda wote JamiiForums ndiyo kunakuambia kuwa Mtu anakuwa hana Shughuli ya Kufanya? Nikiwadharau kwa kutokuwa na Akili ( kuwa Majuha ) mnachukia.
 
Watu wanapiga hela hao unaweza ukakuta wameshaachana ila wanapiga hela tu mjini mipango kama dr mwaka muuza dawa za nguvu za kiume kaachwa itakuwa mauki bwana.
 
Back
Top Bottom