Acha ujinga wako wewe mshenzi unajisifia kipumbavu hapa yani mda wote unashinda jamiiforum kama mimi afu unasema uko karibu na wakuu utashauri nini na kwa ubongo upi? Tuliza akili kijana
Watu wanapiga hela hao unaweza ukakuta wameshaachana ila wanapiga hela tu mjini mipango kama dr mwaka muuza dawa za nguvu za kiume kaachwa itakuwa mauki bwana.