uniquelady
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 420
- 177
Ni vizuri kama unampenda kweli ,ndo maana nikakwambia tumia kinga kuepuka unplanned pregnancy au muoe tu
Time yakuoa bado the problem is that she want ejaculation anadai amechoka kutumia kingaNi vizuri kama unampenda kweli ,ndo maana nikakwambia tumia kinga kuepuka unplanned pregnancy au muoe tu
Sent from my X-TIGI_A10 using JamiiForums mobile app
Mimba haitabiriki sanaa... Unaweza ukaenda hzo siku na ikanasaAkitoka period tuuu ...mlaneni mzigo ndan ya siku sita then kausha ......
Achana na wanafunzi ndugu.
[emoji16][emoji16][emoji16]Kama dem wako ni beki 3 nakushauri tumia kinga ...wanakuaga na mayai ya ziada wale
Namie nmezungumzia hedhi ya siku 3-4 ....... 5-7 pia kuna tartibu ...sasa mtoa mada ndo hajaeleweka mkuuuu....
Hedhi ya siku saba , mzunguko wake no Sikh ngapi ??? Nahuo mzunguko no regular ( siku hazibadiliki) au zinabadilika ??Mkuu naomba msaada wale wa hedhi ya siku 7.
Hedhi ya siku saba , mzunguko wake no Sikh ngapi ??? Nahuo mzunguko no regular ( siku hazibadiliki) au zinabadilika ??
OK usijal ,,, sasa make sure unafaham mzunguko wake siku zake ujue nisiku ngapi nakama niwakubadilika au lah.. Then rudi.Kwa kawaida yeye anableed kwa siku 7. Ila sijafuatilia kama tarehe huwa zinabadilika au hapana
Hataki majukumu hahahKula unapenda lakini hutaki kuitwa baba
OK usijal ,,, sasa make sure unafaham mzunguko wake siku zake ujue nisiku ngapi nakama niwakubadilika au lah.. Then rudi.
Haina shida .Mkuu nimekusoma viizuri. Nitarudi, maana watoto niliozaa naye katika ndoa wanatosha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama dem wako ni beki 3 nakushauri tumia kinga ...wanakuaga na mayai ya ziada wale
Kama dem wako ni beki 3 nakushauri tumia kinga ...wanakuaga na mayai ya ziada wale
Kama dem wako ni beki 3 nakushauri tumia kinga ...wanakuaga na mayai ya ziada wale
Mkuu na kama mwanamke anapata hedhi baada ya miezi mitatu, unafanyaje ili apate mimba!! Nipe ushauri mkuu
Download hiyo app inaitwa 'My Calendar' feed info kufuata maelekezo then utaona mambo yake, kama Kocha vile! haijawahi kunidanganya kwa mamsap
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Post sent using JamiiForums mobile app
Ha ha ha ha ha ha ha hakikaKama dem wako ni beki 3 nakushauri tumia kinga ...wanakuaga na mayai ya ziada wale
Bora umempasha live Bila dana danaKula unapenda lakini hutaki kuitwa baba
Ni kweli mkuu...kalenda inazingua wengi..Tumia condom ,kwani hii njia haitabiriki na sio ya kuamini sana usije sababisha mdada wa watu kuwa single mother bureeee
Sent from my X-TIGI_A10 using JamiiForums mobile app
Hahahahahha....Ni kweli mkuu...kalenda inazingua wengi..
Kwa uhakika zaidi bora condom ( tena avae mbili[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app