Hivi msichana akimaliza period yake nikae siku ngapi ili nifanye safe sexual without pregnancy?

Hivi msichana akimaliza period yake nikae siku ngapi ili nifanye safe sexual without pregnancy?

Hedhi ya siku saba , mzunguko wake no Sikh ngapi ??? Nahuo mzunguko no regular ( siku hazibadiliki) au zinabadilika ??

Kwa kawaida yeye anableed kwa siku 7. Ila sijafuatilia kama tarehe huwa zinabadilika au hapana
 
Kwa kawaida yeye anableed kwa siku 7. Ila sijafuatilia kama tarehe huwa zinabadilika au hapana
OK usijal ,,, sasa make sure unafaham mzunguko wake siku zake ujue nisiku ngapi nakama niwakubadilika au lah.. Then rudi.
 
OK usijal ,,, sasa make sure unafaham mzunguko wake siku zake ujue nisiku ngapi nakama niwakubadilika au lah.. Then rudi.

Mkuu nimekusoma viizuri. Nitarudi, maana watoto niliozaa naye katika ndoa wanatosha.
 
ca48cd4cf8afe700a4c42e2f0f6e2811.jpg

Download hiyo app inaitwa 'My Calendar' feed info kufuata maelekezo then utaona mambo yake, kama Kocha vile! haijawahi kunidanganya kwa mamsap
 
ca48cd4cf8afe700a4c42e2f0f6e2811.jpg

Download hiyo app inaitwa 'My Calendar' feed info kufuata maelekezo then utaona mambo yake, kama Kocha vile! haijawahi kunidanganya kwa mamsap
Mkuu na kama mwanamke anapata hedhi baada ya miezi mitatu, unafanyaje ili apate mimba!! Nipe ushauri mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Post sent using JamiiForums mobile app

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Tumia condom ,kwani hii njia haitabiriki na sio ya kuamini sana usije sababisha mdada wa watu kuwa single mother bureeee

Sent from my X-TIGI_A10 using JamiiForums mobile app
Ni kweli mkuu...kalenda inazingua wengi..

Kwa uhakika zaidi bora condom ( tena avae mbili[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom