Hivi msichana akimaliza period yake nikae siku ngapi ili nifanye safe sexual without pregnancy?

Hivi msichana akimaliza period yake nikae siku ngapi ili nifanye safe sexual without pregnancy?

Mzunguko wake wa siku ngapi??
CYMERA_20170721_190055.jpg
 
Mzunguko wake wa siku ngapi?? View attachment 547482
Huwa ina varies e.g..last month aliingia m.p tarehe 15
This month kaingia tarehe13
Nisaidie je nikfanya naye tarehe 22-23 kna tatzo kwani nachanganya hapa kwenye ovulation period na most fertile which is right help me plz

Samsung galaxy ace J1
 
Mzunguko wake ni wa siku ngapi?
 
Hauko constant e.g. this month kaingia tarehe13 naweza nkafanya sex naye tarehe22-23 bila madhara yoyote

Samsung galaxy ace J1

Hatuwezi kutoa msaada kama hatujui mzunguko wake ndugu.
 
Hesabu siku tisa kuanzia tarehe ya period gonga tu ila siku ya kumi Mara chache sana huwa ni hatari, lakini pia siku ya 17_18+ gonga mwanzo mwisho hadi period tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia rahisi ni kuepuka siku ya 7-10 baada ya bleeding hapo haukunaga cha mimba wale nini

Heshima pesa
 
Back
Top Bottom